P Funk: Nilikuwa namkebehi tu Harmorapa, hata kwa milioni 10 siwezi kumrekodia

Ni kawaida, ukimwita MTU jina ambalo wewe hufananii unaonekana mbaguzi.

Hata Mzungu akikuita "negro" ataonekana mbaguzi ila ukiitwa na negro na MTU mweusi huo unakua sio Ubaguzi...
Ukiitwa "nyani" na Mzungu ni Ubaguzi.. Ila mweusi akikuita "nyani" ni sifa ya kawaida...

Ni mentality tuliojijengea..
 
Ni jambo jema kumtia moja badala ya kumnanga, maisha ni try and error mwisho nani ajuae unakuja kumpigia salute!
 
Malipo hapa hapa duniani, ngoja Hamorapa aje kuzaa na paula ndio heshima itakuwapo.
 
Kwa PFunk hapo sawa... Nilidhani kaacha tabia zake za kuchuja wasanii mpaka basi...
 
hata diamond ulimtosa enzi bongo record ipo juu... ila sasa hivi unatamani akuajiri wasafi
 
Huyo p ana tafuta kiki kupitia Harmorrapa
 
Hivi ndiye aliimba wimbo wa HAYA YOTE NI MAISHA, IPO SIKU YATAKWISHA?
 
Majigambo mengine upuuzi mtupu! Kumbuka hujafa hujaumbika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…