Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ipo siku utaomba selfie nae
Harmo rapa kiboko ya mabishoo
Harmo rapa kiboko ya mabishoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nae ni binadamu kama wewe utamuitaje mwenzio wa hovyo hovyoHamorapa ni mtu wa hovyo hovyo.. Tena wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye tasnia ya mziki nchini...
Eti Hawezi mrekodia kwa Milioni Kumi.Ipo siku utaomba selfie nae
Harmo rapa kiboko ya mabishoo
Ni kawaida, ukimwita MTU jina ambalo wewe hufananii unaonekana mbaguzi.Wapi kaonyesha racial abuse
Tatizo la inferioty uliyokuwa nayo mkuu
Mtu akisema lake la moyoni mbaguzi kisa rangi asizungumze na kama angekuwa mbaguzi akina nature,jay ,fid na wengi wamefanya naye kazi kwa mafanikio haswa rappers ..juzi hapa huyo harmorapa wako aliitwa nyani na mmakonde mwenzake lakini harmonize hajaitwa racial abuser ila majani kumkosoa ki professional tena ushauri anaitwa mbaguzi
Haha kuna watu mnafurahisha sana
Kula 5 mkuuHamorapa ni mtu wa hovyo hovyo.. Tena wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye tasnia ya mziki nchini...
True. jamaa anatembelea nyota ya watu! Kiajabu mnoUzuri Homorapa yeye ukimtaja tu umemuongezea umaarufu.....P Funk anacheza ngoma ya Hamorapa bila kujua.
Hukuelewa alichoongeahata diamond ulimtosa enzi bongo record ipo juu... ila sasa hivi unatamani akuajiri wasafi
Producer mkali wa kitambo P Funk Majani amedai maneno ya kumsifia Harmorapa noma, ilikuwa tu ni kejeli kwa dogo huyo
Amedai hata kwa milioni 10 hawezi kumrekodia msanii huyo kwa kuwa yeye niproducer mwenye heshima
Pia amedai hata Marco chali alishakujaga studio kwake na kuishia getini
Kweli mkuuu ... uyu chotara bangi zinamsumbuwahuyu nae bangi tu,combination ya dogo panzi na nature ni yeye kaunga,leo analeta pozi,angeeleweka sana angesema km sijamrekodia ile nimempatia connection nae atimize ndoto zake
Acha matusi mwanawakinyesiIla huyu dogo Harmo nini sijui na yeye bonge la mpumbavu, miropoko kama baba mlezi wa Bashite. Kuna viumbe ukifanana nao sura lazima ufanane nao akili kidogo.
Producer mkali wa kitambo P Funk Majani amedai maneno ya kumsifia Harmorapa noma, ilikuwa tu ni kejeli kwa dogo huyo
Amedai hata kwa milioni 10 hawezi kumrekodia msanii huyo kwa kuwa yeye niproducer mwenye heshima
Pia amedai hata Marco chali alishakujaga studio kwake na kuishia getini
Duuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]Kama wewe ulivyokuwa mtu wa hovyo kuwahi kutokea Jamii Forum