Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Napenda kujua asili yake kwa sababu kwenye interview zake nyingi anaonekana kiswahili kumpa shida sana katika uzungumzaji wake kama sio mbwembwe.
P funky anaongea kwa busara sio Kama ao uliowataja ila kuna vitu vinamshinda mpaka anaomba kusaidiwa na mtangazajiVijana wengi wa Kitanzania hususan hawa millennials hupata shida kuongea Kiswahili kitupu kilichonyooka.
We jaribu kumsikiliza yule mwigizaji Lulu uone.
Jaribu tu kuwasikiliza wabongo fleva...hata Diamond naye siku hizi kaanza kuwa hivyo.
Yule mcheza kikapu Hashimu Thabiti ndo kabisaaa....utadhani hajazaliwa Dar au Tanzania. Huwa anapata shida sana kuongea akiwa anaongea Kiswahili.
Sijajua hasa tatizo ni nini lakini ninahisi mojawapo ya sababu ni kutaka kujifanya u wa hali na hadhi fulani [kwa kuchomekea sana maneno ya Kiingereza] na pia kutokujua vizuri lugha yoyote ile, iwe Kiswahili au Kiingereza.
Yah yuko smart anajelewa sanaLabda tumuulize kajala, ila jamaa anaonekana smart sana kichwani, anajua anachokifanya
Salama Jabir
P-Funk
Madam Rittha, ndege wafananao huruka pamoja
Umenichekesha sanaHata sisi wa Kwamtogole pia, tukiishaanza tuition pale kwa Ras Simba basi tunaongea "you know let me tell you, yule jamaa bwana, I don't think so"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] baba angu ukitaka mgombane weka"yes yes noo"Hata sisi wa Kwamtogole pia, tukiishaanza tuition pale kwa Ras Simba basi tunaongea "you know let me tell you, yule jamaa bwana, I don't think so"
Mambo?P funky baba ake ana asili ya uholanzii...
Kwenye interview yake kuna msanii kamtaja WA mambele anadai wamezaliwa kijinji kimoja sasa sijamwelewa kijiji cha wapiNahisi ana damu ya kijerumani au kiswideni kwa mama au baba.ila sina hakika sana.
P funky baba yake mholanzi mama yake ni mbongo. Kasoma IST hata kiswahili chake utotoni alikuwa anavunja, ila anakijua. Amejua sana kiswahili baada kuanza kujihusisha na bongo flava lakini back then mara chache alikuwa anaongea kiswahili as rafiki zake wengi wa IST ni foreigners wanaongea kiingereza.Vijana wengi wa Kitanzania hususan hawa millennials hupata shida kuongea Kiswahili kitupu kilichonyooka.
We jaribu kumsikiliza yule mwigizaji Lulu uone.
Jaribu tu kuwasikiliza wabongo fleva...hata Diamond naye siku hizi kaanza kuwa hivyo.
Yule mcheza kikapu Hashimu Thabiti ndo kabisaaa....utadhani hajazaliwa Dar au Tanzania. Huwa anapata shida sana kuongea akiwa anaongea Kiswahili.
Sijajua hasa tatizo ni nini lakini ninahisi mojawapo ya sababu ni kutaka kujifanya u wa hali na hadhi fulani [kwa kuchomekea sana maneno ya Kiingereza] na pia kutokujua vizuri lugha yoyote ile, iwe Kiswahili au Kiingereza.
Paul Martese or something like that.legend huyu jina lake halisi ni nani, khalfani majani au paul majani??
anhaaa okay mkuu shukranPaul Martese or something like that.
Huyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.Vijana wengi wa Kitanzania hususan hawa millennials hupata shida kuongea Kiswahili kitupu kilichonyooka.
We jaribu kumsikiliza yule mwigizaji Lulu uone.
Jaribu tu kuwasikiliza wabongo fleva...hata Diamond naye siku hizi kaanza kuwa hivyo.
Yule mcheza kikapu Hashimu Thabiti ndo kabisaaa....utadhani hajazaliwa Dar au Tanzania. Huwa anapata shida sana kuongea akiwa anaongea Kiswahili.
Sijajua hasa tatizo ni nini lakini ninahisi mojawapo ya sababu ni kutaka kujifanya u wa hali na hadhi fulani [kwa kuchomekea sana maneno ya Kiingereza] na pia kutokujua vizuri lugha yoyote ile, iwe Kiswahili au Kiingereza.
Najikuta tu nimeangukia kwenye comment yako.Hata sisi wa Kwamtogole pia, tukiishaanza tuition pale kwa Ras Simba basi tunaongea "you know let me tell you, yule jamaa bwana, I don't think so"