kagari maarufu town,wahaya wanaita baby walker!!IST ndo nn
Ila hapa IST ina maana International School of Tanganyika. Ukivuka kile kilima adimu dar a.ka Kilima Nyege unatokea IST!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kagari maarufu town,wahaya wanaita baby walker!!IST ndo nn
Pale Nairobi kenya kuna msanii moja maarufu kwa jina la nyashinski,ni mmoja ya wasanii waliounda kundi la cleptomaniaz lilitomba mwanzoni/katikati ya miaka ya 2000 (kwa wale ma-old school watakuwa wanamfahamu)
baadae nyashinski alienda marekani na kuishi huko miaka 10 lakini mpaka leo anazungumza sheng (kiswahili cha kikenya) kwa ufasaha.
halafu eti Leo akina "hashimu thabati" wanajitia kutoweza zungumzia kiswahili kwa ufasaha wakati waliondoka bongo wakiwa watu wazima.....
mik*ndu yao.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
safi mzima?Mambo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole au hingera nkupee?!!!Mkuu Frankly speaking, hizo lips za kwenye Avatar yako hua zinanifanya nisisimke sana.
International Tanganyika SchoolIST ndo nn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Pale Nairobi kenya kuna msanii moja maarufu kwa jina la nyashinski,ni mmoja ya wasanii waliounda kundi la cleptomaniaz lilitomba mwanzoni/katikati ya miaka ya 2000 (kwa wale ma-old school watakuwa wanamfahamu)
baadae nyashinski alienda marekani na kuishi huko miaka 10 lakini mpaka leo anazungumza sheng (kiswahili cha kikenya) kwa ufasaha.
halafu eti Leo akina "hashimu thabati" wanajitia kutoweza zungumzia kiswahili kwa ufasaha wakati waliondoka bongo wakiwa watu wazima.....
mik*ndu yao.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Samahani mkuu edit hapo kwenye kundi LA cleptomaniax hiyo sentensi inayofuata imeharibu maanaPale Nairobi kenya kuna msanii moja maarufu kwa jina la nyashinski,ni mmoja ya wasanii waliounda kundi la cleptomaniaz lilitomba mwanzoni/katikati ya miaka ya 2000 (kwa wale ma-old school watakuwa wanamfahamu)
baadae nyashinski alienda marekani na kuishi huko miaka 10 lakini mpaka leo anazungumza sheng (kiswahili cha kikenya) kwa ufasaha.
halafu eti Leo akina "hashimu thabati" wanajitia kutoweza zungumzia kiswahili kwa ufasaha wakati waliondoka bongo wakiwa watu wazima.....
mik*ndu yao.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Pale Nairobi kenya kuna msanii moja maarufu kwa jina la nyashinski,ni mmoja ya wasanii waliounda kundi la cleptomaniaz lilitomba
mwanzoni/katikati ya miaka ya 2000 (kwa wale ma-old school watakuwa wanamfahamu)
baadae nyashinski alienda marekani na kuishi huko miaka 10 lakini mpaka leo anazungumza sheng (kiswahili cha kikenya) kwa ufasaha.
halafu eti Leo akina "hashimu thabati" wanajitia kutoweza zungumzia kiswahili kwa ufasaha wakati waliondoka bongo wakiwa watu wazima.....
mik*ndu yao.
Rekebisha
Ubishoo tu mkuu...wakati mimi nina miaka 17 nje ya eneo la nyumbani but lugha yangu haijawahi kunipiga chenga{sio kiswahili namaanisha lugha asili}huwa anajionaga vipi sijui na sio yeye tu wapo wengi sana hawa.Huyu kijana Hashimu Thabiti (Hasheem Thabeet) Kama anavyojiita siku hizi, ndio huwa ananishangaza sana mkuu. Maisha aliyotokea na muda alioishi States eti Kiswahili kinampa shida!!!!!! Huwa nachoka kabisa nikimsikia anaongea.
Huyo ni mchanganyiko nusu mtanzania vs mdachi[emoji12]Habari zenu ndugu zangu napenda kujua historia ya huyu producer mkongwe hapa nchini nimeangalia interview zake mbalimbali nimevutiwa na uwezo wake wa kuelezea vitu pia huyu jamaa ana content Sana hababaishi.
Napenda kujua asili yake kwa sababu kwenye interview zake nyingi anaonekana kiswahili kumpa shida sana katika uzungumzaji wake kama sio mbwembwe.
Ukfatilia interview alofanya na dj Lil omy wa times FM utagundua nilichokisema
Hivyo basi nakaribisha michango yenu kwa anayejua historia ya pfunky majani
Haha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kama Senga...Yaani uishi na kina Kobe Bryant miaka 5 asubuhi upo nao jioni upo nao mchana upo nao..mazoezini kambini na kwenye mechi halafu eti ubaki tu kuongea kama kingwendu??..huo utakua sio tu ulofa ila utakua ufala..lazima ubebe swaga za mtoni..hao mnaowaona wanakaa mbele na wakirudi wanaongea kama senga ujue walikua wanajifungia tu vyumbani huko..
Kaka usinge-quote post yake ungemu-alert tu kuirekebisha maana hata aki-edit kumbukumbu itabaki hapa ktk bandiko lako{nimekosa maneno ya kuweka huko nilikochanganya lugha}[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] .....Samahani mkuu edit hapo kwenye kundi LA cleptomaniax hiyo sentensi inayofuata imeharibu maana
Kwani unafikiri ana njaa kama wewe.Familia bora hiyo imejengwa vizuriCha ajabu pamoja na umaarufu wote mpaka leo anaishi kwao na mama ake pamoja na familia yake
Sikugundua haraka mkuu imenitia ukakasi sio siri hizi simu mterezo ni kaziKaka usinge-quote post yake ungemu-alert tu kuirekebisha maana hata aki-edit kumbukumbu itabaki hapa ktk bandiko lako{nimekosa maneno ya kuweka huko nilikochanganya lugha}[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] .....
Cha ajabu ni kipi? Umaskini wako ndio umekufanya uishi mbali na wazazi wako.Cha ajabu pamoja na umaarufu wote mpaka leo anaishi kwao na mama ake pamoja na familia yake
Kama miss tz wetu alopita.P funky anaongea kwa busara sio Kama ao uliowataja ila kuna vitu vinamshinda mpaka anaomba kusaidiwa na mtangazaji