Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
- Thread starter
- #81
Hahahahha sipati picha myama tid alivyoshushwa chini, kumbe jamaa ana dharau sana aliwahi pia kumpiga dereva boda kisa kavunja taa ya hammer lake japo yy ndo alikuwa na makosaAlikuwa na nguvu sana awamu ya JK, ndiyo maana alimpiga mtama TID Billicanas na hakutolewa nje wala kushitakiwa, ulaya issue kama hiyo anakulipa hela nzuri tu, pia yuko fit sana hata ukisalimiana na kwa kushikana mikono utalijua hilo, isitoshe ana jeuri ya pesa japo kiwango chake kwa sasa kimechukua kwa kula bata zaidi ya mazoezi.