P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Young lunya anajiita G.O.A.T [emoji2211][emoji2211][emoji2211] daaah maisha yanaenda kasi sana
Anajiita goat afu kwenye game hata miaka mitano hajafikisha

Hiyo goat kaitumia kama a.k.a lakini sio ile goat ya uwezo

Dogo aliharibu kwenye yes bana challenge aliimba ushuzi sehemu zingine hata vina hamna
 
Alafu ukimwona mtaani wala hauwezi mdhania unaeza mchukulia kama mshamba fulani hiv.

Sijui kwann watu weny uwezo mkubwa wa kufanya mambo kwa ukubwa huwa wanakuwa wa kawaida ukiwatazama hawanaga mbwembwe.

Ila ukitaka kuwajua uwakute sehemu zao.
Ni kama msikilizishe jamaa ambae hamjui dizasta nyimbo zake zote, apate zile contents alafu umuoneshe na mtu anae miliki huo ubongo wa kutoa hizo files
 
Anajiita goat afu kwenye game hata miaka mitano hajafikisha

Hiyo goat kaitumia kama a.k.a lakini sio ile goat ya uwezo

Dogo aliharibu kwenye yes bana challenge aliimba ushuzi sehemu zingine hata vina hamna
Ni kawaida yake kupoteana[emoji23]
 
Anajiita goat afu kwenye game hata miaka mitano hajafikisha

Hiyo goat kaitumia kama a.k.a lakini sio ile goat ya uwezo

Dogo aliharibu kwenye yes bana challenge aliimba ushuzi sehemu zingine hata vina hamna
Angepunguza kujimwambafai, akapiga kazi na respect walio mtangulia..discipline ni kitu muhimu sana
 
Watoto wenzie. [emoji23]
Kwenye ile Crew yao ya OMG naona labda Cannabino ndo rappa. Kidogo na Salmin Swaggz.. Ila Lunya mbabaishaji
Wanasema OMG bado ipo, ina maana kuna project wanazianda kama kundi au? Ndo janja janja
 
Kila nikisikiliza aina ya mziki flani nikaona haijanivutia kabisa ndo inanifanya niendelee kukaa kwenye misingi ya hip hop, mfano hii style ya mziki wanaoimba Mabantu
Hii ya akina Whozu na Baddest 47 pia[emoji23]
Ila nadhani kila kizazi kina entertainers wao. Si tuendelee na wakwetu.
 
Tunaishi na ma genious sana, hawa jamaa huwa na hisi wana uwezo mkubwa pia wakufikiri zaidi ya hata watu wanavyo wafikilia maana track zao, verse zao ni [emoji91][emoji91] tupu
Thinking capacity yao pia ni kubwa kuna verse unaweza ukaziskia kwa mara moja afu ukapata ujumbe mrefu sana uliojificha

Ebu fikiria tu kidogo nikki alipoimba
Alisema nchi ya viwanda, njoo uone nchi ya vibanda

Dizasta: Utakapochukua wasaa utagundua ulimpa saa alipohitaji muda wako

Songa: Hata chakula ni uchafu na ndio maana una nawa baada ya kula

Songa: Duniani ni kubaya na ndio maana ukizaliwa tu unalia

Mawenge: mwenye uchu wa mkwanja hajisifii na ndio maana hatokei dogo mjanja kwa madee

Nala: tunaishi kwa mujibu, matatizo hayajifichi kama umemkis mwenye aibu

We unayako nami nina yangu tutunziane ndo utaratibu
 
Wanauliza "Eti mwisho wa kifo lini?"
Nawajibu "Kipo hai nadhani mwisho ni chini."

Hapa Songa alinikosha sana... Yaani wazo tu la kwamba kifo kipo hai.
 
Hii ya akina Whozu na Baddest 47 pia[emoji23]
Ila nadhani kila kizazi kina entertainers wao. Si tuendelee na wakwetu.
kuna majina mengine ya wasanii naishia kuyasoma tu jf, kama huyo whozu hata single yake moja siijui
 
Thinking capacity yao pia ni kubwa kuna verse unaweza ukaziskia kwa mara moja afu ukapata ujumbe mrefu sana uliojificha

Ebu fikiria tu kidogo nikki alipoimba
Alisema nchi ya viwanda, njoo uone nchi ya vibanda

Dizasta: Utakapochukua wasaa utagundua ulimpa saa alipohitaji muda wako

Songa: Hata chakula ni uchafu na ndio maana una nawa baada ya kula

Songa: Duniani ni kubaya na ndio maana ukizaliwa tu unalia

Mawenge: mwenye uchu wa mkwanja hajisifii na ndio maana hatokei dogo mjanja kwa madee
Ni kweli mkuu, yani ngoma ya hisia za moyoni ilini fikirisha sana, nadhani umeisikia pia ngoma ya confession of mad phillosopher inazungumzia mambo ya freedom, hapo lazima ujiulize huyu jamaa kawaza nini? Yani mpaka kutoa verse za namna hii
 
Wanauliza "Eti mwisho wa kifo lini?"
Nawajibu "Kipo hai nadhani mwisho ni chini."

Hapa Songa alinikosha sana... Yaani wazo tu la kwamba kifo kipo hai.
Na hii siwezi kuifanya pasipo nyinyi, nipe shavu nirushe kofi kwa ruksa pasipo mwinyi
 
Back
Top Bottom