P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Kwangu hakuna kama Cado Kitengo kweny 'freestyle off the top' na anaefuata ni toxic fuvu.

Kinacho mtofautisha kado kitengo na toxic nadhani kado anauwezo wa kuswitch flow tofauti tofauti na mistari ya maudhi akiamua kukukandia anakukandia kweli kweli.

Pia jamaa ni bonge la entertainer ana vimaneno fulani hivi lazima tu ucheke na style yake ile ya kuchezesha kamguu Wakati akifreestyle.

View attachment 2000153
Me naireverse hiyo. Kado alikalishwa na TOXIC kwenye Big Sunday Night ya Wasafi. Though kwa wote bado siipendi ile tabia ya kuhusisha unyonge, udhaifu n.k na wanawake.
 
Hahahahaah... Kuna interview flani hivi ya Snoop Doggy anawaongelea. Kanifurahisha sana[emoji23]
Hawajama bhana sijawahi kuwaelewa kabisa, nyimbo nzima ataimba maneno hayazidi kumi skrrrr nyingi, unakutana na designer[emoji23][emoji23][emoji23] sijui alien yule
 
Hawajama bhana sijawahi kuwaelewa kabisa, nyimbo nzima ataimba maneno hayazidi kumi skrrrr nyingi, unakutana na designer[emoji23][emoji23][emoji23] sijui alien yule
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na nyingi hazina maudhui ya kueleweka.
 
Mzee umemaliza kila kitu

Cado kwenye freestyle anaweza kukupa vitu vingi, body language yuko vizuri sana.

Kwenye freestyle anaku offer vitu vingi, unaweza ukacheka kwa lines, pia unaweza ukacheka kwa namna anavyo move

Ebu cheki freestyle za kijini alizopiga pale wasafi na namna anavyo switch....aaah msenge anajua sana tuache utani
Ghetto freestyle pia mchizi huwa anamaliza kila kitu,
 
Toxic Fuvu. Huyu kijana ni hatari sana.
Cado alimchana toxic akamuambia

watu wanakuona kwenye vidio, mtoto wakike hauna hata makalio.../

Toxic akamjibu

Usitake kunitisha kama mtoto mdogo, mara anakaa anaongelea mpododo.../

Mpododo? kwani we mpododo huna, au unataka mpaka nikuzungukie kwa nyuma.../
 
Bro una kumbukumbu sana. Hiki ndo kitu ambacho huwa sipendi kwa hawa vijana wa freestyle.

TOXIC aliwahi kumchana mdau mwingine hapo hapo Big Sunday Night akamwambia "Mi Daimond nishindane na Zuchu!"
 
Toxic Fuvu
Eh%20Mungu%20Tufungulie%20Milango%20ya%20Mafanikio%20Yetu_pray_%20%20Cc.%20Photo%20by%20%40chi...jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bro una kumbukumbu sana. Hiki ndo kitu ambacho huwa sipendi kwa hawa vijana wa freestyle.

TOXIC aliwahi kumchana mdau mwingine hapo hapo Big Sunday Night akamwambia "Mi Daimond nishindane na Zuchu!"
Mteganda alikua anampiga cado kwa punchlines za kiuhalisia kulingana na jamaa anavyopiga weed

Cado alikuja na comeback moja hapo aisee alitisha sana
 
Kina migos ndo wamekuja kutuharibia hip hop hawa, naona tabia hii imeanza kuenea mpaka huku nawaona kina lunya wameiga
Young lunya anajiita G.O.A.T [emoji2211][emoji2211][emoji2211] daaah maisha yanaenda kasi sana
 
Mzee umemaliza kila kitu

Cado kwenye freestyle anaweza kukupa vitu vingi, body language yuko vizuri sana.

Kwenye freestyle anaku offer vitu vingi, unaweza ukacheka kwa lines, pia unaweza ukacheka kwa namna anavyo move

Ebu cheki freestyle za kijini alizopiga pale wasafi na namna anavyo switch....aaah msenge anajua sana tuache utani
Alafu ukimwona mtaani wala hauwezi mdhania unaeza mchukulia kama mshamba fulani hiv.

Sijui kwann watu weny uwezo mkubwa wa kufanya mambo kwa ukubwa huwa wanakuwa wa kawaida ukiwatazama hawanaga mbwembwe.

Ila ukitaka kuwajua uwakute sehemu zao.
 
Back
Top Bottom