Thas trabo
Senior Member
- Mar 5, 2021
- 130
- 239
Hawa jamaa mpaka huwa nashindwa nimshushe yupi ni mpandishe yupi, kwakua kwnye freestyle wanaua kila wanapo pewa nafasiCado, mteganda toxic na papaa frege, hao ndio wanaweza kutembea na beat lolote na bado waka kukuhakikishia contents imesimama