P MAWENGE: Nahamia weusi

Umemtaja Sean P nimekumbuka watu kama kina Talib kweli, Buckshot, Raste Juxx, Vinnie Paz, Immortal techniques ni ngumu sanaaaa kukuta watu wengi wanawafahamu.
 
P mawenge ni Moja ya vile vichanaji vilivoingia kwenye underground hiphop eidha kwa usela, mademu ,umachinoo ndo maana kanababaika babaika na hawezi penya main stream anajidanganya
 
P mawenge ni Moja ya vile vichanaji vilivoingia kwenye underground hiphop eidha kwa usela, mademu ,umachinoo ndo maana kanababaika babaika na hawezi penya main stream anajidanganya
Alikunyima kolabo nini?
 
Kwani Fido Vato ana maoni gani hapa?
 
Mzinguzi tu.... afu kapotea au ndo game limemficha anatoa ngoma zinaishia kuskilizwa na producer tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mawenge anajaribu ku-catch attention
 
Huyu chalii WA AR....hajawahi wakubali weusi [emoji23]..hv chanzo n nn??.....Fido inawezekana atakuwa kajibu chochote hapo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app


Fido Vato anaamini Joh makini na Weusi ndo chanzo cha Nako 2 Nako kuvunjika, so mpaka kesho jamaa ni adui wa Weusi na Makazi yake ni Ololoo akiwa na kundi lake la Vato Locco[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hakuna mtu wa hip-hop hamjui Harry Mack.

Unashangaza.

Harry Mack - The energy was insane
Nilikuwa namsikiliza sana bila kujua jina lake.

Alikuwa ni street rapper ninekutana na video zake nyingi mtandaoni ila sikuwahi kujua kama ndio yeye.

Jamaa yupo vizuri kwenye freestyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…