Unajua shida ipo apa, kuna baadhi ya wasanii wa rap wanafanya underground hiphop alaf wanataka kukaa mainstream. Mziki wa weusi ni mainstream hiphop wakati huo mziki wa wasanii wa TAMADUNI ni underground hiphop wakati huo kuna baadhi ya wasanii wa tamaduni wanataka kushindana na weusi hili swala haliwezekani.
Ukiwa msanii wa rap unatakiwa kujua position yako kisha tengeneza pesa kupitia position yako. SHOUT-OUT kwa dizasta vina amejua position yake na anaitumia vyema, kuna wasanii walikua USA kama kina marehemu sean p wanajulikana kwa wachache wanaofatilia mziki wao na hivyohivyo kwa ata kwa bongo tutawajua sisi tunaofatilia hiyo kitu