superwarkills
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 136
- 83
Weusi wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipenda sana bongo hip hop mkuu, namziki nnao ukubali sana ni underground hip hop... HUKU CHINI KUNA MADINI.Nafurahi sana pale napokutana na wadau ambao wanasikiliza mziki mzuri, na sio mziki hit
Hawa kina shaulin wako vizuri sana, contents zao zimesimama na hata kucheza na maneno wako vizuri mfano shaulin kwenye simu ya dada
Kama msanii gani?Hapana mkuu anacho maanisha mziki unatofautiana vizazi na vizazi, mziki wa kina nikki ni tofauti na madogo wa siku hizi wakina stan rymes hivyo kwa ma legend wakitambo wanatakiwa wakubali kuwaachia madogo nafasi ili nao waonyeshe makali yao, pia wadau wasilinganishe maana siku hizi ma MCs ni wengi tofauti na kitambo hivyo ukimsikia msanii flani kasika na asha anza kutengeneza fans kadhaa ujue ana kitu ndani yake na watu wameki appreciate.
Wako far mko near na msipo kaza watawakaziaWeusi wanasemaje?
Watu wa kanda ya ziwa tulichukua softcopy tu mkuuAlbum yake nilichukua hardcopy na signature yake hiyo hapo, nilitumia username ya jf
Hatuwapi 16 bars, 8 bars zinawatosha..Hao nao sijui wanachanaje, wana sound hovyo.
Interlude ina beat zuri, wameshindwa kuitendea haki
Na hiyo ni multi talents sio wote wanaweza kuchana ngumu na kuchana soft afu zote zikabambaHapana mkuu anacho maanisha mziki unatofautiana vizazi na vizazi, mziki wa kina nikki ni tofauti na madogo wa siku hizi wakina stan rymes hivyo kwa ma legend wakitambo wanatakiwa wakubali kuwaachia madogo nafasi ili nao waonyeshe makali yao, pia wadau wasilinganishe maana siku hizi ma MCs ni wengi tofauti na kitambo hivyo ukimsikia msanii flani kasika na asha anza kutengeneza fans kadhaa ujue ana kitu ndani yake na watu wameki appreciate.
Mkuu huyu frege ndio nani maana ndio mara ya kwanza leo namsikia anavideo zozote za freestyle youtube nikamcheck coz Kitengo na toxic hawa huwa nawafuatiliaMimi nishasema katika carrier ya freestyle hakuna cha ngwair wala godzilla ambao uwezo wao wa freestyle unaweza kuwalinganisha na hiki kizazi cha kina toxic, frege na kado
Hawa madogo lazima tuwape heshima yao nao waone tusisubiri wafe ndio tuwasifie, battle wanazopiga sio za kitoto wanakutana na upinzani mkali tofauti na kizazi cha kina ngwair na freestyle zao zenye weak flow kama chid benz
Niwekee hapa punchilines kutoka kwenye freestyle yeyote aliyowahi kufanya nikki afu tufanye comparisonUkweli ni kua hamna rapa anayemfikia mbishi kwenye freestyle hata huyo ngwair ni hyp tu
Kaanze na moyo na akili [emoji91]Mkuu huyu frege ndio nani maana ndio mara ya kwanza leo namsikia anavideo zozote za freestyle youtube nikamcheck coz Kitengo na toxic hawa huwa nawafuatilia
Kesho ntakuwekea hapa clip zake tena nyingine akiwa na cado, utofauti wa frege ni kwamba hafanyi battle za ku attack mpinzani, mara nyingi yeye anafanya zile freestyle kutokana na mazingira yaliyomzungukaMkuu huyu frege ndio nani maana ndio mara ya kwanza leo namsikia anavideo zozote za freestyle youtube nikamcheck coz Kitengo na toxic hawa huwa nawafuatilia
Na kinacho wapaishi Tamaduni wengi wao wana multi talents mzee songa kuna ngoma kama bado niko mtaani, sanaa iko sokoni alafu gafla uje usikie hisia za moyoni... daaah hawa jamaa bhana... kutana na nikki mbishi ft fama: kama namuona my fav songNa hiyo ni multi talents sio wote wanaweza kuchana ngumu na kuchana soft afu zote zikabamba
We fikiria tu leo nash achane soft ngoma itakuaje?
Mbona nikki mbishi kachana soft kwenye nimekumis na still ngoma kali mpaka leo?
Ooh sawa mkuu ukiziweka nitasikiliza hivi unafuatilia pia freestyler wa mbeleKesho ntakuwekea hapa clip zake tena nyingine akiwa na cado, utofauti wa frege ni kwamba hafanyi battle za ku attack mpinzani, mara nyingi yeye anafanya zile freestyle kutokana na mazingira yaliyomzunguka
Ila ni hatari sana
Songa kwenye hisia za moyoni alipita na beat vizuriNa kinacho wapaishi Tamaduni wengi wao wana multi talents mzee songa kuna ngoma kama bado niko mtaani, sanaa iko sokoni alafu gafla uje usikie hisia za moyoni... daaah hawa jamaa bhana... kutana na nikki mbishi ft fama: kama namuona my fav song
Thanks MkuuKaanze na moyo na akili [emoji91]
Hapana mkuu sijawahi msikia ila ngoja nitamtafuta nione mautundu yakeOoh sawa mkuu ukiziweka nitasikiliza hivi unafuatilia pia freestyler wa mbele
Kuna mtu mmoja anaitwa 'harry mack' ushawahi msikia?
Navipi muono wako kwa huyu jamaa.
Hivi kuna mtu anaemfikia kweli?
Kama kuna magenius wa freestyle basi huyu ni pure genius.