P MAWENGE: Nahamia weusi

P MAWENGE: Nahamia weusi

Nafurahi sana pale napokutana na wadau ambao wanasikiliza mziki mzuri, na sio mziki hit

Hawa kina shaulin wako vizuri sana, contents zao zimesimama na hata kucheza na maneno wako vizuri mfano shaulin kwenye simu ya dada
Naipenda sana bongo hip hop mkuu, namziki nnao ukubali sana ni underground hip hop... HUKU CHINI KUNA MADINI.
 
Hapana mkuu anacho maanisha mziki unatofautiana vizazi na vizazi, mziki wa kina nikki ni tofauti na madogo wa siku hizi wakina stan rymes hivyo kwa ma legend wakitambo wanatakiwa wakubali kuwaachia madogo nafasi ili nao waonyeshe makali yao, pia wadau wasilinganishe maana siku hizi ma MCs ni wengi tofauti na kitambo hivyo ukimsikia msanii flani kasika na asha anza kutengeneza fans kadhaa ujue ana kitu ndani yake na watu wameki appreciate.
Kama msanii gani?
 
Huwa sisiti kununua album za msanii wa hip hop nnae mkubali, dizasta nilipo post tu anatoa album nliona siku hazingandi sijawahi jutia pesa yangu
Album yake nilichukua hardcopy na signature yake hiyo hapo, nilitumia username ya jf
 
Naipenda sana bongo hip hop mkuu, namziki nnao ukubali sana ni underground hip hop... HUKU CHINI KUNA MADINI.
Dizasta anakuambia ndiko mitutu inakofichwa
 
Hapana mkuu anacho maanisha mziki unatofautiana vizazi na vizazi, mziki wa kina nikki ni tofauti na madogo wa siku hizi wakina stan rymes hivyo kwa ma legend wakitambo wanatakiwa wakubali kuwaachia madogo nafasi ili nao waonyeshe makali yao, pia wadau wasilinganishe maana siku hizi ma MCs ni wengi tofauti na kitambo hivyo ukimsikia msanii flani kasika na asha anza kutengeneza fans kadhaa ujue ana kitu ndani yake na watu wameki appreciate.
Na hiyo ni multi talents sio wote wanaweza kuchana ngumu na kuchana soft afu zote zikabamba

We fikiria tu leo nash achane soft ngoma itakuaje?

Mbona nikki mbishi kachana soft kwenye nimekumis na still ngoma kali mpaka leo?
 
Mimi nishasema katika carrier ya freestyle hakuna cha ngwair wala godzilla ambao uwezo wao wa freestyle unaweza kuwalinganisha na hiki kizazi cha kina toxic, frege na kado

Hawa madogo lazima tuwape heshima yao nao waone tusisubiri wafe ndio tuwasifie, battle wanazopiga sio za kitoto wanakutana na upinzani mkali tofauti na kizazi cha kina ngwair na freestyle zao zenye weak flow kama chid benz
Mkuu huyu frege ndio nani maana ndio mara ya kwanza leo namsikia anavideo zozote za freestyle youtube nikamcheck coz Kitengo na toxic hawa huwa nawafuatilia
 
Ukweli ni kua hamna rapa anayemfikia mbishi kwenye freestyle hata huyo ngwair ni hyp tu
Niwekee hapa punchilines kutoka kwenye freestyle yeyote aliyowahi kufanya nikki afu tufanye comparison

Nikki mbishi mwenyewe anakiri kua madogo wako juu, wewe nani?
 
Mkuu huyu frege ndio nani maana ndio mara ya kwanza leo namsikia anavideo zozote za freestyle youtube nikamcheck coz Kitengo na toxic hawa huwa nawafuatilia
Kesho ntakuwekea hapa clip zake tena nyingine akiwa na cado, utofauti wa frege ni kwamba hafanyi battle za ku attack mpinzani, mara nyingi yeye anafanya zile freestyle kutokana na mazingira yaliyomzunguka

Ila ni hatari sana
 
Na hiyo ni multi talents sio wote wanaweza kuchana ngumu na kuchana soft afu zote zikabamba

We fikiria tu leo nash achane soft ngoma itakuaje?

Mbona nikki mbishi kachana soft kwenye nimekumis na still ngoma kali mpaka leo?
Na kinacho wapaishi Tamaduni wengi wao wana multi talents mzee songa kuna ngoma kama bado niko mtaani, sanaa iko sokoni alafu gafla uje usikie hisia za moyoni... daaah hawa jamaa bhana... kutana na nikki mbishi ft fama: kama namuona my fav song
 
Kesho ntakuwekea hapa clip zake tena nyingine akiwa na cado, utofauti wa frege ni kwamba hafanyi battle za ku attack mpinzani, mara nyingi yeye anafanya zile freestyle kutokana na mazingira yaliyomzunguka

Ila ni hatari sana
Ooh sawa mkuu ukiziweka nitasikiliza hivi unafuatilia pia freestyler wa mbele
Kuna mtu mmoja anaitwa 'harry mack' ushawahi msikia?
Navipi muono wako kwa huyu jamaa.
Hivi kuna mtu anaemfikia kweli?

Kama kuna magenius wa freestyle basi huyu ni pure genius.
 
Na kinacho wapaishi Tamaduni wengi wao wana multi talents mzee songa kuna ngoma kama bado niko mtaani, sanaa iko sokoni alafu gafla uje usikie hisia za moyoni... daaah hawa jamaa bhana... kutana na nikki mbishi ft fama: kama namuona my fav song
Songa kwenye hisia za moyoni alipita na beat vizuri

Hapo songa ali fit, yaani kuna nyimbo unaweza kuiona kabisa kua hii ngoma ilitakiwa iwe kali zaidi ya hapa ila kilichokuja kupunguza radha ni beat, mfano nyimbo ya kanisa ya dizasta naona kama haiendani na flow
 
Ooh sawa mkuu ukiziweka nitasikiliza hivi unafuatilia pia freestyler wa mbele
Kuna mtu mmoja anaitwa 'harry mack' ushawahi msikia?
Navipi muono wako kwa huyu jamaa.
Hivi kuna mtu anaemfikia kweli?

Kama kuna magenius wa freestyle basi huyu ni pure genius.
Hapana mkuu sijawahi msikia ila ngoja nitamtafuta nione mautundu yake
 
Back
Top Bottom