P Square wamfunga mdomo Diamond!

kwani wakati wanatoa hiyo kauli huyo diamond alikuwa na mafanikio haya aliyonayo leo? kipindi kile huyo diamond alikuwa mburura kama mamburura wengine akina ommy dimpoz

Ni kweli kabisa kipindi hicho mond alikuwa mburura kama kibba alivyo sasa
 
Khaaa alizamia c unajua kwetu Tandale c tunazamiaga afu tunauchapa mpunga bila kualikwa
 
Wanigeria wana msemo wao usemao "FAKE IT FAKE IT TILL YOU MAKE IT"-DIAMOND PLATNUMZ MADE IT....
 

vipi bado hawamjui?
 


Hao ndio waTz halisi, mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…