P Square wamfunga mdomo Diamond!

P Square wamfunga mdomo Diamond!

Ha ha ha hapa swaiba sifa zimemtokea puani!!Lol so alikua Mrs Davido?
 
kidooogo AY Anaweza akaalikwa huyo inawezekana alizamia
 
Daa nime angali youtube na niwazi hilo swali lilitoka kwa fans kutoka page ya EATV facebook, na mshabiki aliuza psquare wanazungu mziaje vazi la Diamond alilovaa kwenye harusi ya peter?

Ndipo Adrian akaliweka kwa kingereza na kuwapa psquare lakini peter alioneka kutomjua Diamond kabisa.

MwanZo Peter alifikiri anaulizwa kuhusu madini ya almasi.

Adrian stepp alijitahidi kuwaelewesha bila mafanikio na wakaoneka kutomjua diamond kabisa.


Lakini Peter alisema yeye alikuwa high table hivyo hakuwa na habari lakini Adrian aliendelea kuwaeleza Diamond nimsanii kutoka tanzania ndipo walipo sema ooooh Sorry tulikuwa hatujui kabisa na hata hivyo watu walikuwa wengi.
 
Kweli kuwa mtanzania ni kazi....yaani mnashangilia P skwea (Nigeria) kutomfahamu Diamond (mtanzania)?

Sipati shida kufikiri ni kwa jinsi gani watanzania mnashangilia kwa kila tunalofeli dhidi ya nchi nyingine........timu yetu inaposhindwa.... basi meno thelathini na nje yote mbili.

Any way mpaka kufikia hatua ya kumjadili Diamond dhidi ya huyo P skwea wenu ni kumaanisha Diamond ni SOMEBODY.....ndio maana haiwezi kutokea mkajadili ishu yangu, jinsi nilivyochezea kichapo cha mbwa mwizi baada ya kuzamia mnuso juzi hapa Tandahimba......
 
Ndo Maana Alivaa Ka Wema Ili Aonekane Bado Kaambulia Mtoso
 
Nimecheka sana..mrs Davido... jaman kwel JF rahaa tupu jaman
 
jamani kwani heaven on desert yuko wapi? hivi aliyeandika kwamba diamond ni mtanzania pekee aliyepata mwaliko special kutoka kwa psquar sio heaven on desert? then hapa kasepa du! kazi kweli kwel
 
Jamani eh!inawezekana alialikwa na kamati ya harusi ,hata mie nilipochukua shemeji yenu zaidi ya nusu ya waalikwa si washikaji zangu wala wa shemeji yenu,walikuwa washikaji wa washikaji wa washikaji wetu-hatuwajui!
 
Back
Top Bottom