P the MC: Msanii bora wa hiphop kwa nyimbo za hadithi(story telling)

P the MC: Msanii bora wa hiphop kwa nyimbo za hadithi(story telling)

anaitwa M 2 the P..jamaa yake na ngwair,watoto mlioanza kujua mziki 2015 ndo mnakuja na story hizi za kina P the MC.haha anaweza but hajafika kiwango ichoo..maybe wanangu.he's tryn
na watoto mliosoma kiingereza english medium ndio hua mna huo uandishi wa "ichoo" "tryn"
 
Achana na story tatu ya Jay moe,nikusaidieje ya Profesa Jay,starehe ya Ferooz,mikasi ya Ngwair au Playboy ya Nikki Mbishi

Huyu bwana anayietwa P the mc ni hatari kwa hizi nyimbo za kughani huku ukisimulia hadithi

anakosha sana.
Hahahahaha! Mkuu umenikumbusha ile nyimbo yake inayoitwa Afande msela daaaa! Naipendaga kinoma sana
 
Back
Top Bottom