Inafaa kwa namna yoyote ile, ni wewe tu na pesa yako. Kinachohitajika ni garters, pipes na shimo lilikojengwa kwa ustadi wa hali ya juu ili kuhifadhi maji yasipotee.Hivi hii inaweza kufaa kwa nyumba yenye muundo wa L?
Hata mm sijui wanazipendea nnIla nyumba na mvuto uwepo kidogo. Staili sijawahi ipenda imekaa kama msikiti au ukuta wa ngome ya mjerumani.