Paap, Simba vs Wydad Casablanca

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.

Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati ya timu hizo tatu ndio ambayo sio ya kiarabu.

Wengi wanatamani kuona mechi ya Simba vs Mamelod ila kwa mimi naombea Simba ipangiwe Wydad Casablanca kwenye mechi ya robo fainali.
 
Hao wanaosema wanawataka mamelodi ni wanafki, moyoni wanaogopa. Kila mwanasimba anayejua mpira anajua timu hatuna msimu huu wal kocha hatuna
 
Sasa unaweza ukakaa ukaomba upangiwe na timu ipi?, Hapo hizo timu hazina mizania sawa na lonyalolonya Simba.
 
Kombe anabeba mmoja kati ya utatu huu
1 Raja casablanca
2 Wydad casablanca
3 Al ahly sc

I wish Raja or Wydad ashinde
 
Kati ya Mamelod au Wydad ndio timu nyepesi,, Mamelod anafunga na kufungwa pia kiufupi anabeki mbovu I think ana cleansheet 1 au 2 tu..

Wydad yeye anasafu butu ya ushambuliaji,,,hivyo ukijikaza ukampiga 2 hapa ukienda kwao suluhu ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…