ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mambo yanabadirika usidhani wao hawajifunziHamna wakifika mtoano wanapoteana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yanabadirika usidhani wao hawajifunziHamna wakifika mtoano wanapoteana
Esparance di TunisUmesema Mamelodi ana beki mbovu una mulinganisha na nani?
Mtoto akililia wembeKuna uzi walianziasha wanamtaka Mamelodi na mimi nasema wapewe
kweliHao wanaosema wanawataka mamelodi ni wanafki, moyoni wanaogopa. Kila mwanasimba anayejua mpira anajua timu hatuna msimu huu wal kocha hatuna
Ndio maana Mo amemind usajili unafanyika wa ajabu.kweli
kila siku hua nasema hapa bado hatuna timu ya kiushindani mkuu
Bongo kwa upigajiNdio maan Mo ameminda usajili unafanyika wa ajabu.
Sanabongo kwa upigaji
utawakubali
Katika mashindano yote ya CAF mwaka huu (Championship na Confederation) ni Simba pekee ndiyo timu iliyoingia robo-fainal ikiwa na point chache sana yaani point 9 wakati timu zote zilizoingia robo final zina points kuanzia 10 na kuendelea. Point zake zote zilitokana na timu mbili tu wakati timu nyingine zote zizoingia robo fainali zilikuwa zinavuna points kutoka timu zote kwenye kundi lao. Inabidi waishukuru sana Vipers.Hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.
Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati ya timu hizo tatu ndio ambayo sio ya kiarabu.
Wengi wanatamani kuona mechi ya Simba vs Mamelod ila kwa mimi naombea Simba ipangiwe Wydad Casablanca kwenye mechi ya robo fainali.
Moderator mbona mmeunganisha uzi wangu wa utabiri na uzi wa droo ya robo fainali. Hamuoni kama ni vitu viwili tofauti?Hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.
Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati ya timu hizo tatu ndio ambayo sio ya kiarabu.
Wengi wanatamani kuona mechi ya Simba vs Mamelod ila kwa mimi naombea Simba ipangiwe Wydad Casablanca kwenye mechi ya robo fainali.
Kwenye mpira chochote kinaweza tokea. Dakika 180 zitaamua nani asonge mbele na yupi asonge ugali.SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????