Paap, Simba vs Wydad Casablanca

Paap, Simba vs Wydad Casablanca

Tusubiriii j5 sio mbali ...nawatakia heri to go Fainali team zote 2....as Tanzania
 
Mimi natamani waletwe Mamelodi maana jezi yake ni rahisi kuioata hata Kariakoo halafu nzuri sana ,maana jezi ya Raja nilipata tabu sana kuipata mpaka nikaamua nichukue jezi ya Morocco tu.

Yani huyu mzulu atapigika vizuri sana akikutana na wamorocco

Kila la heri Wydad na Raja
 
Natabiri kuna figisu (fitina) zitafanyika ili weusi wafike nusu fainali ambazo ni wakutane wenyewe kwa wenyewe!!!!!!

Waarabu wataingiza timu tatu nusu fainali na weusi timu moja!!!!!!

Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!
 
Watu wanamsahau Mnyama mkali Esperence.

Hao kina Raja na Mamelodi wana afadhali.

Nendeni mkacheki resume ya esperence in Last 5 years kwenye caf champions league
 
Nmewaona Esperance,Wydad hawapo bora kama miaka ya nyuma...angalau hatua hizi timu huwa zinafufuka upya kwani msimu Al ahly alipomaliza wa pili nyuma ya simba ndio msimu alioenda kuwa bingwa,Petro atletico ya Angola alishika nafasi ya pili akaenda kuitoa mamelodi msimu uliopita iliokua ya moto maana ilimpiga Al ahly nje ndani kwenye makundi

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Yeyote sawa. Matokeo ya uwanjani ndiyo imeifikisha Simba na hizo timu zingine zilipo... Moja Kati ya timu 8 bora Africa msimu huu.
 
Natabiri kuna figisu (fitina) zitafanyika ili weusi wafike nusu fainali ambazo ni wakutane wenyewe kwa wenyewe!!!!!!

Waarabu wataingiza timu tatu nusu fainali na weusi timu moja!!!!!!

Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!
Wote ni waafrica acha woga
 
Back
Top Bottom