Paap, Simba vs Wydad Casablanca

Hao wanaosema wanawataka mamelodi ni wanafki, moyoni wanaogopa. Kila mwanasimba anayejua mpira anajua timu hatuna msimu huu wal kocha hatuna
kweli
kila siku hua nasema hapa bado hatuna timu ya kiushindani mkuu
 
Katika mashindano yote ya CAF mwaka huu (Championship na Confederation) ni Simba pekee ndiyo timu iliyoingia robo-fainal ikiwa na point chache sana yaani point 9 wakati timu zote zilizoingia robo final zina points kuanzia 10 na kuendelea. Point zake zote zilitokana na timu mbili tu wakati timu nyingine zote zizoingia robo fainali zilikuwa zinavuna points kutoka timu zote kwenye kundi lao. Inabidi waishukuru sana Vipers.
 
Moderator mbona mmeunganisha uzi wangu wa utabiri na uzi wa droo ya robo fainali. Hamuoni kama ni vitu viwili tofauti?
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????
 
Kwenye mpira chochote kinaweza tokea. Dakika 180 zitaamua nani asonge mbele na yupi asonge ugali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…