permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Na mkiponea kwenye penalty mnaanza kusema GSM anahonga timu pinzani.Ana ujuzi kabambe ,anaweza kuwaingiza uwanjani wachezaji wawili tu uwanjani ,Manula golini halafu Kagere ndo forward na utopolo mnafungwa goli 5 safi
Apewe Muda apewe ushirikiano, aachwe atumie taaluma yake mwisho tutaona mafanikio yakeSimba imemtangaza Pablo Franco (41) kuwa Kocha Mkuu mpya akichukua nafasi iliyoachwa na Didier Gomes Da Rosa
Kocha huyo alikuwa anainoa Al Quadsia ya Kuwait. Pia amewahi kuzinoa Fuenlabrada, Getafe na amewahi kuwa Kocha Msaidizi Real Madrid.
Swali Je Ana uzoefu upi wa Soka la Kiafrika?
CV yake inaonyesha hajawahi kufundisha barani Afrika. Changamoto za soka la kiafrika anazitambua.
Hapa naona Simba wamejipiga na kitu kizito kingine.
View attachment 2001189
😂😂Simba hawana mikakati yoyote ya kufanya makubwa katika soka la Afrika,kocha huyo wamemchukua awasaidie katika NBC primier league,kama wangekuwa na mikakati ya kufanikiwa klabu bingwa ya Afrika basi wasingewauza wachezaji wao Chama na Miqussone,tena wamewauza kwa mahasimu wao.
Mmepigwa paleeThis is History Brothers and Sisters....Kocha msaidizi Real Madrid, Kocha Mkuu Getafe anakuja kuinoa Simba[emoji1241]
Naona watu wanachukulia kawaida..Lakini sio jambo la kawaida kibongo bongo[emoji1316]
Tunawapa mudaSawa Mkuu...Ila kwanini imekua ni big story?
Kukaaa Benchi la Madrid si jambo rahisi mkuu..Tena madrid ile[emoji1]
Nimeangalia hata pale Al-Qadsia timu inacheza ki-mfumo, Pira biriani tena Biryan Moto[emoji91], yaan sijui itakuaje wana UTO[emoji2]
Walisema wanamtaka asie na jina wala CV kubwa aje kuvipatia vyote Simba SC, hii kamari ngoja tuone kama italipa.
Hivi unaweza kuwa na malengo ya kufika mbali kwenye mashindano ya nje na ndani halafu ukamchukua kocha asie na experience ya mashindano husika?
Wanasema wanamtaka asie na jina ili awe na kiu ya mafanikio, kwani mwenye jina ndio anaweza kukubali kuharibu CV yake kizembe kwa kutofikia malengo ya kazi yake?
Hapa naona bora wangetupa sababu nyingine ya kumchukua huyo kocha asiyefahamika, kama ni issue ya mshahara tujue, lakini tusidanganyane na sababu zao walizotoa kwa kumchukua huyo kocha, Simba SC kwa level waliyofiki sio timu ya kuwajaribu makocha, sioni maana ya kumuacha Gomes halafu unaenda kumchukua mwenye CV ndogo zaidi.
#madness.
Muuza ngada ndo wamemleta kuwa kocha...huyu ataondoka mapema tu
Amekuja game changer,hata kama hujui utajua tuHahaha kwa straika mugalu ni pira makande tu hata aje gadiola
Ajue kwa straika mugalu ama kibu D atasubiri sanaAmekuja game changer,hata kama hujui utajua tu
Game changer hashwindwi kitu,wote wapo vzuri na wanafundishika kabisaAjue kwa straika mugalu ama kibu D atasubiri sana