Pablo Franco Kocha Mpya wa Simba SC

Pablo Franco Kocha Mpya wa Simba SC

Aseee....
Eti uzoefu wa soka la kiafrika, hakuna soka la kiafrika ila kuna upumbavu wa kiafrika ambao hautakiwi kuvumiliwa.
Tofauti iliyopo ni moja tu, hapa bongo tunatumia Nguvu nyingi bila akili, mfano mwepesi mpira anaoucheza prisons.
Na huo mpira anaoucheza prison umewafikisha wapi,nguvu nyingi akili hamna
 
Unapoongelea uzoefu wa soka Africa,
Bila shaka unazungumzia NDUMBA.

Wenzetu ulaya soka Ni sayansi na sio ushirikina kiazi wewe[emoji3525]
Ipo tofauti ya soka la England, Hispania na Germany.

Na ndio muktadha huo huo unaotumika kusema soka la kiafrika.

Soka la kiafrika Lina ubabaishaji mwingi, ratiba ya kuungaunga, viwanja hovyo hovyo, fitna mwanzo mwisho.
 
Bora TU aje muhispania,
Hili Soka la matola la butua butua Ni kichefuchefu Sana[emoji3525]
 
Ipo tofauti ya soka la England, Hispania na Germany.

Na ndio muktadha huo huo unaotumika kusema soka la kiafrika.

Soka la kiafrika Lina ubabaishaji mwingi, ratiba ya kuungaunga, viwanja hovyo hovyo, fitna mwanzo mwisho.
Sasa hivyo sio vigezo vya kumchukua kocha,
Wenzetu kocha anakua pia Ni meneja.

Uku kwetu hizo KAZI za fitna, NDUMBA n.k mambo ya ovyo aachiwe meneja wa timu amalizane nayo.

Kocha afanye KAZI yake TU ya kufundisha.
 
Ipo tofauti ya soka la England, Hispania na Germany.

Na ndio muktadha huo huo unaotumika kusema soka la kiafrika.

Soka la kiafrika Lina ubabaishaji mwingi, ratiba ya kuungaunga, viwanja hovyo hovyo, fitna mwanzo mwisho.

Wapo makocha wanatoka German wanafundisha England wanafundisha Hispania na wanafundisha Italy.

Comment yako hii haina mashiko
 
Unapoongelea uzoefu wa soka Africa,
Bila shaka unazungumzia NDUMBA.

Wenzetu ulaya soka Ni sayansi na sio ushirikina kiazi wewe[emoji3525]
Haya ndo maneno Kuntu tunataka.

Yaani Kocha mkuu Getafe na Kocha Msaidizi Real Madrid, zaidi ya hapo ni kutegemea Uchawi na Kelele za Msukule [emoji12]
 
Simba imemtangaza Pablo Franco (41) kuwa Kocha Mkuu mpya akichukua nafasi iliyoachwa na Didier Gomes Da Rosa

Kocha huyo alikuwa anainoa Al Quadsia ya Kuwait. Pia amewahi kuzinoa Fuenlabrada, Getafe na amewahi kuwa Kocha Msaidizi Real Madrid.

Swali Je Ana uzoefu upi wa Soka la Kiafrika?

CV yake inaonyesha hajawahi kufundisha barani Afrika. Changamoto za soka la kiafrika anazitambua.


Hapa naona Simba wamejipiga na kitu kizito kingine.

View attachment 2001189
Simba hawana mikakati yoyote ya kufanya makubwa katika soka la Afrika,kocha huyo wamemchukua awasaidie katika NBC primier league,kama wangekuwa na mikakati ya kufanikiwa klabu bingwa ya Afrika basi wasingewauza wachezaji wao Chama na Miqussone,tena wamewauza kwa mahasimu wao.
 
Walichanganyikiwa na majina ya walio omba nafasi.

Wakasahau mahitaji ya timu yao.
Uzuri wa kocha utauona kwenye matokeo ya mechi zake baada ya kumsainisha,hayo mengine ni blaa blaa, nadhani mfano mzuri unao kwa kocha Nabi wa Yanga alikuwa ametemwa El merekh lakini ameweza kubadilisha Yanga,japo ubingwa bado hajauchukua.
 
Cha msingi tu naomba huyu kocha avumiliwe wakati anajenga timu upya na kwasababu hii timu ya sasa siyo mapendekezo yake

Na kwa bahati mbaya zaidi amekuja wakati Yanga ni wa moto sana
 
Mwana utopolo naona umewahi kuleta uzi kuhusu kocha wetu anyway!! Usichokijua tu ana mfumo wake wa 2-2-6, huo mfumo alishawahi kuingiza wachezaji watatu tu uwanjani na likafa jitu,,, mtu kashawahi kukaa kwenye benchi la ufundi la timu kubwa kabisa duniani lkn nnavyojua majirani walivyokuwa na nongwa hata hili watalipinga,, ukimchek tu sura yake ka Xavi, sasa sikwambii hizo mbinu! Mtugee tu kombe letu mapema kabla ya mwezi wa kumi na mbili!
Huyu Chrismass inamkuta kasharudi kwao.
 
Back
Top Bottom