Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Na huo mpira anaoucheza prison umewafikisha wapi,nguvu nyingi akili hamnaAseee....
Eti uzoefu wa soka la kiafrika, hakuna soka la kiafrika ila kuna upumbavu wa kiafrika ambao hautakiwi kuvumiliwa.
Tofauti iliyopo ni moja tu, hapa bongo tunatumia Nguvu nyingi bila akili, mfano mwepesi mpira anaoucheza prisons.