Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele.

Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi linakwenda kumpa presha zaidi anatakiwa atulie aache wenge vinginevyo atakuwa anazishuudia mechi jukwaani
 
Huhuhu
JamiiForums-902558406.jpg
 
Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele, lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi linakwenda kumpa presha zaidi anatakiwa atulie aache wenge vinginevyo atakuwa anazishuudia mechi jukwaani
Hapo umenena. Ana hasira zisizo na msingi wowote. Pamoja na kuwa tunampenda, tunakerwa na mihasira yake ya hovyo.
 
Sure kocha wetu ana wenge Sana Hadi anaboa aiseee ,yaan sijui anajikuta nan, kocha gan unakuwa na mihemuko kiasi hicho ,kocha ukiwa na temper hata wasaidiz wako unawachanganya.

Na game ya leo mm nitamlaum yeye hakuna mwingine ,Sakho na kagere wangeleta pressure kwa wapinzan ajabu unaanzisha akina Morrison anayecheza mpira wa majukwa maana haipambanii timu Yule mbwa Zaid ya kujipambania yeye ndio maana haachii mipira haraka ,Yule Morrison Ni wa kumuingiza ukishakua na matokeo tayar tofaut na hapo Ni zero tu.

Narudia Tena kiongozi anayelazimisha bocco achezeshwe ajiandae siku moja kumpeleka mchezaji wake hospital kushonwa nyuzi ,maana itafika wakat mashabik watachoka na watafuta mafanikio aliyowahi iletea Simba ,ifike Mahal mchezaji na kiongozi wake wakubal kuwa muda wao umeisha pale Simba Bali wastaff kwa heshima na sio kwa aibu.

Pia Kuna kiongozi mkubwa hapo Simba tunajua ukaribu wake na mugalu na ndie kalazimisha jamaa abaki wakat anajua ukweli Hana msaada na timu na alipaswa apishe striker mwingine mpya wa kimataifa.

Nasema wewe kiongozi siku zako zinahesabika mashabik tutakuchana ukweli hapo hapo uwanjani ili ujue tunavyoumia sisi mashabik wa kweli
 
Kitendo cha Pablo kuwa na munkari vile kinawanyima benchi ka ufundi muda wa kuitathimini timu na mechi kwa ujumla wakati mchezo ukiendelea.

Hii inapelekea kukosa ushauri wa maana kutoka kwa wataalamu walioko benchi la ufundi maana wote wanakuwa roho juu na matendo ya kocha wao.

Bana weeee mtajua wenyeww maKolo na kocha wenu.
 
Leo imekua Moja ya siku njema kabisa kuwahi kutokea ktk ulimwengu wa soka.....haya...
Wacha tusubiri tuone kitakachoendelea.

JamiiForums885375397.gif
 
Kitendo cha Pablo kuwa na munkari vile kinawanyima benchi ka ufundi muda wa kuitathimini timu na mechi kwa ujumla wakati mchezo ukiendelea.
Hii inapelekea kukosa ushauri wa maana kutoka kwa wataalamu walioko benchi la ufundi maana wote wanakuwa roho juu na matendo ya kocha wao.

Bana weeee mtajua wenyeww maKolo na kocha wenu.
Kocha toka Madrid huyo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sure kocha wetu Ana wenge Sana Hadi anaboa aiseee ,yaan sijui anajikuta nan, kocha gan unakuwa na mihemuko kiasi hicho ,kocha ukiwa na temper hata wasaidiz wako unawachanganya...
Kiongozi Alie karibu Na Mugalu = Barbra.

# wachezaji simba Na benchi la ufundi wakiongozwa Na Matola hawamtaki Pablo Tarajia Simba kupoteza mechi nyingine kama tatu Na Sare kama nne.

Boko Ni bonge la striker pamoja na kwamba alipokuwa Mtoto alikuwa Na mapenzi mazito Na Yanga lakini ameitumikia Simba Kwa uaminifu mkubwa Sana.

Mkimtema Boko Yanga tutamrejesha nyumbani aje amalizie soka lake kama tulivyo fanya Kwa DHL mwaka 91/92
 
Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele.

Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi linakwenda kumpa presha zaidi anatakiwa atulie aache wenge vinginevyo atakuwa anazishuudia mechi jukwaani
Gap ni pointi 8 si 5, mpaka azipate.
 
Pesa ndefu ?kiasi gani?bingwa wa ligi anachukua mshahara wa mwezi wa MIQUISON

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom