Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Hapo umenena. Ana hasira zisizo na msingi wowote. Pamoja na kuwa tunampenda, tunakerwa na mihasira yake ya hovyo.Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele, lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi linakwenda kumpa presha zaidi anatakiwa atulie aache wenge vinginevyo atakuwa anazishuudia mechi jukwaani
Hunizidi mimi kuna wengine wamekata tamaa wanasubiri tuteleze ata sare game yetu ya polisi makolo wanachekeshaMm raha yangu ni kuona kilio kwa makolo.
Kocha toka Madrid huyo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitendo cha Pablo kuwa na munkari vile kinawanyima benchi ka ufundi muda wa kuitathimini timu na mechi kwa ujumla wakati mchezo ukiendelea.
Hii inapelekea kukosa ushauri wa maana kutoka kwa wataalamu walioko benchi la ufundi maana wote wanakuwa roho juu na matendo ya kocha wao.
Bana weeee mtajua wenyeww maKolo na kocha wenu.
Huyo Genta ndiyo hamnazo kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fukuza Pablo mpe kazi Genta .
Kama mimi tu🤣🤣🤣Mm raha yangu ni kuona kilio kwa makolo. 😁
Kiongozi Alie karibu Na Mugalu = Barbra.Sure kocha wetu Ana wenge Sana Hadi anaboa aiseee ,yaan sijui anajikuta nan, kocha gan unakuwa na mihemuko kiasi hicho ,kocha ukiwa na temper hata wasaidiz wako unawachanganya...
Gap ni pointi 8 si 5, mpaka azipate.Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele.
Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi linakwenda kumpa presha zaidi anatakiwa atulie aache wenge vinginevyo atakuwa anazishuudia mechi jukwaani
Pesa ndefu ?kiasi gani?bingwa wa ligi anachukua mshahara wa mwezi wa MIQUISONUyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele.
Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi linakwenda kumpa presha zaidi anatakiwa atulie aache wenge vinginevyo atakuwa anazishuudia mechi jukwaani
Anaweza kumfunga kagera kwakuwa iko ovyo safari hii ndo maana nimeweka gape halali wasije wakaanza kubwata na yule kocha wao wa mchongoGap ni pointi 8 si 5, mpaka azipate.