Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Amefia Aga Khan Dar, kule Instagram kumewaka moto kuhusu kifo chake.

Mimi ndio namsikia leo? Ni nani katika jamii maana mpaka Mange naye anamlilia?
 

Attachments

  • IMG-20160308-WA0201.jpg
    124.8 KB · Views: 399
Alikuwa anavaa hereni kwanini?
Mungu hakumleta duniani na sikio limetoboka ila yeye kalitoboa sijui siku hizi twapotelea wapi
 
Alikuwa anavaa hereni kwanini?
Mungu hakumleta duniani na sikio limetoboka ila yeye kalitoboa sijui siku hizi twapotelea wapi
Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.

Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?

Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
 
Kila kifo ni mawaidha.

Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 
Poleni wafiwa.

Ndugu na jamaa waliotutangulia, wanatukumbusha kwamba kuna kifo, naam tumche Yeye Mwenye Uweza na Mamlaka na Nguvu.

Najisikia sana kinyaa kwa hii tabia, lakini mimi ni nani hadi nihukumu? Maana hata kusema uongo ni dhambi pia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…