Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikuwa ni BWABWA.....hili halina Ubishi, labda kwa wasio mfahamuKwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.
Mungu amuweke panapostahili.
Hakunaa hata jiwe litakalo salia...ni.wakati wakung'oa kizazi cha Kipepo katikati ya uzao wa Kibinadam(wachache hamtanielewa)
Mmh!!! mwanaume huyu?
Okay, mikao yake nishajua alikuwa nan hapa town
Kwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.
Mungu amuweke panapostahili.
Nimekuelewa ila isiche ikawa ya ivo moralesHakunaa hata jiwe litakalo salia...ni.wakati wakung'oa kizazi cha Kipepo katikati ya uzao wa Kibinadam(wachache hamtanielewa)
Alikuwa Mtu Maarufu Kwa vigezo vya Maarufu hapa nchini ni Kuwa kwenye matukio , pia he had a good heart na moyo mzuri beside others !Apumzike Kwa amaniAmefia Agakhan Dar, kule Instagram kumewaka moto kuhusu kifo chake. Mimi ndio namsikia leo?ni nani katika jamii maana mpaka Mange naye anamlilia.View attachment 328309
Sioni sababu ya ku justify ujinga. Tunajua hereni zinazovaliwa sasa na hawa vijana masharo wa dar siyo zile za kimasai wala za mababu zetu bali mitindo iliyoigwa Marekani. Wavaaji wa hereni hata walioko Marekani siyo watu wanaoheshimika sana na mostly kimaadili ni questionable. Iweje sisi huku africa tuwaone watu wa kawaida? Ukweli utabakia kuwa uvaaji wa sasa wa hereni kwa wanaume unahusishwa na maadili machafu na hupati heshima popote labda kwa watu wenye silka kama yako.Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.
Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?
Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
Mungu atujaalie mwisho mwema ni kweli kama mtu anataka mawaidha(ukumbusho)mauti yanatosha.Kila kifo ni mawaidha.
Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Kuna vitu vingine hauhitaji KUAPA ili kuleta msisitizo penye kauli yako hapa dhahiri umeandika ukweli mtupu.Kwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.
Mungu amuweke panapostahili.