Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
Ila ndugu zangu vijana wanaharibika kwa kasi sana tuwe makini na watoto wetu hasa wa kiume jana na mimi nilipata kudukua dukua huko Instergram Nilichokiona ni siri yangu.
Inaogopesha sana! Limekuwa ni jambo la kawaida. Apumzike kwa Amani!
 
Kila kifo ni mawaidha.

Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Ni kweli..lakini mashoga hayana Inna Lillahi...na ndo mana yaliangamizwa enzi za Nabii Lut.
 
Jamaa alikuwa na kampuni yake ya kupamba kumbi za sherehe, he was talented kwa kweli pia nasikia alikuwa amepiga shule mpaka Masters level . Love life yake from his Instagram pics, nyingi amekumbatiwa/ busiwa kimahaba na njemba mmoja la kiarabu so i assume alikuwa mwenza wake. RIP Herry.
 
Umaarufu huongezeka Mara dufu pale unapo tenda mambo ya shetani pale unapomsujudia shetani
hakika nimekumbuka pale Yesu alipojaribiwa na shetani kuwa angempa milki zote za ulimwengu na fahari yake endapo YESU angemsujudia shetani

Tuwe makini tamaa ya Maisha mazuri ama umaarufu umesababisha mashoga wengi Sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom