Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
Kila kifo ni mawaidha.

Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Eti wanasema alikua shoga sasa.........
 
Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.

Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?

Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
Acha kutetea upu.mbavu nawewe utakuwa shoga ndo mnaotudhalilisha wanaume rijali.unatetea mwanaume aliyekamilika kuvaa hereni?kwanza wewe imani gani?
 
Kila kifo ni mawaidha.

Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.


Niliyekuwa hai naponda raha. Maisha yenyewe Ni mafupi, naamsha na supu na bia mbili za speed ya kazi. Wewe je?
 
Jamaa alikuwa na kampuni yake ya kupamba kumbi za sherehe, he was talented kwa kweli pia nasikia alikuwa amepiga shule mpaka Masters level . Love life yake from his Instagram pics, nyingi amekumbatiwa/ busiwa kimahaba na njemba mmoja la kiarabu so i assume alikuwa mwenza wake. RIP Herry.

Ukimwi unawamaliza mashoga wote hapa nchini
 
Ukimwi unawapukutisha mashoga wote.

Kuna Lingine hapa Arusha maarufu kama Anti Mollel, Juzi kuamkia jana, nalo limepita hivi.

Una hakika ni ngoma? Mbona nasikia alifanya operation ya kupata lijishepu ikakataa
 
Sisi ni wake na kwake ni marejeo.

Wote tutarudi kungoja siku ya hesabu na amali zetu za leo ndiyo zina matter.

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.


Aaamen. Hilo halina mjanja wala bingwa atakayekwepa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom