Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
SHERIE8.jpg
 
Kwa Vile ni marehemu Acha nimstahi..

Lakini hapana...Let him Rot In Pieces
 
Hakunaa hata jiwe litakalo salia...ni.wakati wakung'oa kizazi cha Kipepo katikati ya uzao wa Kibinadam(wachache hamtanielewa)

Woote hawajakuelewa kabisaaa.... hebu baelezee kiduchu
 
Ila ndugu zangu vijana wanaharibika kwa kasi sana tuwe makini na watoto wetu hasa wa kiume jana na mimi nilipata kudukua dukua huko Instergram Nilichokiona ni siri yangu.
 
hizi thread bila preamble ya mlengwa ni shida

RIP anyway
 
Ukiliangalia suala la kuvaa hereni katika upana wake, sijui kwanini kuvaa hereni kunahusishwa na ushoga! Katika tamaduni za baadhi ya makabila Tanzania (wasukuma, wamaasi, wagogo?, n.k.), wanaume uvaa mahereni tena makubwa na usuka pia. Kwa kweli uwa sielewi uvaaji huo kuhusishwa na ushoga.

Ukisema Mungu hakumleta duniani na sikio lilitoboka, je Mungu aliwaleta wanawake na masikio yaliyotoboka duniani? Je, Mungu alituleta duniani na kutuvisha suruali kwa wanaume na sketi/gauni kwa wanawake?

Ushoga ni tabia na hulka za mtu husika. Kwa mtazamo wangu mitindo (ambayo imekuwa defined na mwanadamu na siyo Mungu) haihusiani na ushoga, haswa ukizingatia baadhi ya mitindo hiyo imekuwa sehemu ya utamaduni wa kitanzania na hata kiafrika kwa baadhi ya makabila.
Sioni sababu ya ku justify ujinga. Tunajua hereni zinazovaliwa sasa na hawa vijana masharo wa dar siyo zile za kimasai wala za mababu zetu bali mitindo iliyoigwa Marekani. Wavaaji wa hereni hata walioko Marekani siyo watu wanaoheshimika sana na mostly kimaadili ni questionable. Iweje sisi huku africa tuwaone watu wa kawaida? Ukweli utabakia kuwa uvaaji wa sasa wa hereni kwa wanaume unahusishwa na maadili machafu na hupati heshima popote labda kwa watu wenye silka kama yako.
 
Kila kifo ni mawaidha.

Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Mungu atujaalie mwisho mwema ni kweli kama mtu anataka mawaidha(ukumbusho)mauti yanatosha.
 
Ku
Kwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.
Mungu amuweke panapostahili.
Kuna vitu vingine hauhitaji KUAPA ili kuleta msisitizo penye kauli yako hapa dhahiri umeandika ukweli mtupu.
 
Siku hizi ukipata mtoto wa kiume sema asante Mungu lakini ukiwa mguu pande mguu sawa,Mungu tunusuru.
Pumzika panapostahili kijana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom