Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
Kumekua na hali ya sintonfahamu kwenye mitandao ya kijamii, kuhusiana na kifo cha aliyekua mwanamitindo na mpambaji maarufu bongo, Herry Pacor Nasser maarufu kama Paco decor.

Mpaka sasa hakuna taarifa ya wazi kuhusiana na kifo chake kama alikua mgonjwa, au alikufa kwa ajali, ila inasemekana march 8 ambayo ilikua siku ya jana marehemu alikua phuket, Thailand, na inasemekana masaa machache tu baada ya kutua nchini humo ikatangazwa kuwa mjasiliamali huyo ameaga dunia.

Ukweli ni kwamba kijana huyo mwenye jinsia tata amefia Thailand ila kifo chake mpaka sasa bado hakijajulikana, tutaendelea kuwa update kuhusiana na kifo chake mpaka ukweli ujulikane

Mmbea wenu mtiifu warumi Heineser
 
Attachments

  • 1457510610688.jpg
    1457510610688.jpg
    61.8 KB · Views: 76
HATA Mimi nashangaa anamuombea pepo shoga,hovyo kabisa

Mkuu unajua maana ya hayo maneno?
Innallillah wainna illah rajiiun.
(kwake tumetoka na kwake ndio marejeo yetu)

Sio kama ni dua au kumuombe mtu pepo hapana,
Tunaambiwa ukisikia hbr ya msiba tutamke maneno hayo,

Coz awe panya, mende, kunguni, ng'ombe, punda, shoga, mtoto mchanga, muislam, muikristo, mpagani, n.k.
Sote ni viumbe wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
si heri nassa huyu au alibadili dini akajiita haroub,mbona insta wansema Rip mrs Ommy????au Ommy kabala hajamuoa alimuambia abadili dini?lol,ila mshkaji nilkuwa namuona pande za mikocheni haswa pale mkonyi ,mtu fulani poa asiye na makuu
 
Binamu mbona nimesikia kafariki hapa Bongo
alikua kalazwa ICU, hospital ya Aga Khan na
hata mwili ndio umehifadhiwa hapo hapo
 
Mhhhhh binamu sa kwanini hawaweki wazi
jana alisafir kwenda thailand, baadae ikatangazwa kafa, hyo atakua kafa kifo cha aibu ndio maana wanaficha, sasa sijui kauliwa au vipi, ila jana march 8 alikua thailand binamu, huu ubuyu mtamu hatari, na kila ukiuliza watu sababu ya kifo chake hawakujibu
 
si heri nassa huyu au alibadili dini akajiita haroub,mbona insta wansema Rip mrs Ommy????au Ommy kabala hajamuoa alimuambia abadili dini?lol,ila mshkaji nilkuwa namuona pande za mikocheni haswa pale mkonyi ,mtu fulani poa asiye na makuu

mhhhhhhh hatare sana
 
jana alisafir kwenda thailand, baadae ikatangazwa kafa, hyo atakua kafa kifo cha aibu ndio maana wanaficha, sasa sijui kauliwa au vipi, ila jana march 8 alikua thailand binamu, huu ubuyu mtamu hatari, na kila ukiuliza watu sababu ya kifo chake hawakujibu

na mie kila nikipitia nione ka kuna sababu watu Holla.....
endelea kusaka ubuyu utupatie binamu..
 
Poleni wafiwa.

Ndugu na jamaa waliotutangulia, wanatukumbusha kwamba kuna kifo, naam tumche Yeye Mwenye Uweza na Mamlaka na Nguvu.

Najisikia sana kinyaa kwa hii tabia, lakini mimi ni nani hadi nihukumu? Maana hata kusema uongo ni dhambi pia.
well said,,,espirato santus
 
Kafia bongo alikuwa mgonjwa na wanazika leo saa 10 sasa hayo ya thailand mbona mapya. Ila hakijulikani kilichomuua maana alikuwa yupo ICU
kwenye wall yake ya fb inaonyesha 8 hours ago alikua thailand, mmh labda kuna kitu nyuma ya pazia, tutasikia mengi tu binamu
 
Attachments

  • 1457512018852.jpg
    1457512018852.jpg
    70.7 KB · Views: 69
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom