mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
isingalikuwa msiba ningali cheka maana.....Shehe kahtaan njoo umsafishe Haroob kabla hatujaenda kumzika.. Nasikia wewe mtaalamu wa kuswalia na kusafisha maiti..
Na rais wa magasho ni weweHuu uzi wa shoga ushafuka page 23 ila uzi wa ujio wa Rais wa Vietnam haujafika hata page 4.... Kweli humu ndani kuna watu wanapenda ushoga
😀 😀 😀 😀 subiria matusi Na mabomu kulipuka humu ndani cc@Ritz
hajafia aghakana, kafia thailand binamuAmefia Agakhan Dar, kule Instagram kumewaka moto kuhusu kifo chake. Mimi ndio namsikia leo?ni nani katika jamii maana mpaka Mange naye anamlilia.View attachment 328309
mkuu kutalipuka mabomu ya matusi humu ndani 😀Shehe kahtaan njoo umsafishe Haroob kabla hatujaenda kumzika.. Nasikia wewe mtaalamu wa kuswalia na kusafisha maiti..
HATA Mimi nashangaa anamuombea pepo shoga,hovyo kabisa
Mhhhhh binamu sa kwanini hawaweki wazihajafia aghakana, kafia thailand binamu
jana alisafir kwenda thailand, baadae ikatangazwa kafa, hyo atakua kafa kifo cha aibu ndio maana wanaficha, sasa sijui kauliwa au vipi, ila jana march 8 alikua thailand binamu, huu ubuyu mtamu hatari, na kila ukiuliza watu sababu ya kifo chake hawakujibuMhhhhh binamu sa kwanini hawaweki wazi
si heri nassa huyu au alibadili dini akajiita haroub,mbona insta wansema Rip mrs Ommy????au Ommy kabala hajamuoa alimuambia abadili dini?lol,ila mshkaji nilkuwa namuona pande za mikocheni haswa pale mkonyi ,mtu fulani poa asiye na makuu
jana alisafir kwenda thailand, baadae ikatangazwa kafa, hyo atakua kafa kifo cha aibu ndio maana wanaficha, sasa sijui kauliwa au vipi, ila jana march 8 alikua thailand binamu, huu ubuyu mtamu hatari, na kila ukiuliza watu sababu ya kifo chake hawakujibu
hahaha .... ila all in all ni watehja wa wanaume kwahiyo pande zote mbili zinahusikaKuna madada wengine laana tu wanawakusanya mashoga na kuwatafutia wateja....
well said,,,espirato santusPoleni wafiwa.
Ndugu na jamaa waliotutangulia, wanatukumbusha kwamba kuna kifo, naam tumche Yeye Mwenye Uweza na Mamlaka na Nguvu.
Najisikia sana kinyaa kwa hii tabia, lakini mimi ni nani hadi nihukumu? Maana hata kusema uongo ni dhambi pia.
kwenye wall yake ya fb inaonyesha 8 hours ago alikua thailand, mmh labda kuna kitu nyuma ya pazia, tutasikia mengi tu binamuKafia bongo alikuwa mgonjwa na wanazika leo saa 10 sasa hayo ya thailand mbona mapya. Ila hakijulikani kilichomuua maana alikuwa yupo ICU
mmh kuna kitu binamu, tuwe wavumilivu, si unajua tena misiba huwa inafichua mambo mengiBinamu mbona nimesikia kafariki hapa Bongo
alikua kalazwa ICU, hospital ya Aga Khan na
hata mwili ndio umehifadhiwa hapo hapo