Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
Tangulia ndg nasi twafwata ingawa hatujuwi ni umbali gani tumebakiza
 
Hivi kuna mtu analinganisha msagaji na Shoga? Mwanamke ameumbwa kuingizwa na mwanaume kuingiza. Ukiona mwanaume anaingizwa dushe hata kidole jua kuna shida. Hivyo wewe kama ni kweli unasagana hakuna madhara ila shoga mh!!!!!

Kwani anaingizwa kwa kutumia kunyeo lako??
Hukumu anaitoa Mungu peke yake sio wanadamu
Dhambi ziko nyingi sana
Jitakase nafsi yako sio kuhukumu wengine
 
alichotushinda sisi wengine ni ukuwadi uliotukuka Na kutelekeza familia, kushinda club Na watoto wadogo
Tatizo humjui huyu jamaa wala humfatilii, alishaelezea issue ya familia yake na ni mke ndo alitaka divorse wakafanya process zote, wakamalizana kisheria, unadhani aliona na mkewe mwanarumango kwamba utatekeleza mke serikali ikuangalia, jamaa alikuwa US na mke ndo aliomba talaka, na alimtunza mpaka anaondoka US, na kwa maelezo yake kuna pesa aliitaka jamaa akiwa huku tz jamaa akampa ushirikiano wa kusign docs na mwanamke akachukua pesa, jamaa ni gentleman ukimrudisha kwenye issue ya kifamily na baada ya hayo maelezo mwanamke alikaa kimya hakupinga kama alosema Le mutuz ni uongo.

Na kuhusu Ukuwadi una ushahidi?? alishawahi kukutongozea au ndo udaku, na wewe mpia umemshinda umbea na story za kusikia na kutunga, sio kama kakushinda kushinda na vitoto vidogo jamaa ameinvest kwenye entainment ulitaka aje akae na wewe mle mirungi, mwenzio pale club yeye kuwepo pale anaingiza pesa usiniulize kivipi, Halaf kumbuka humlipii jamaa kiingilio wala kinywaji. na yale ndo maisha yake ameamua kuishi hivyo na huwezi mbadili kwahiyo huna haja ya kumtusi kama kakuibiwa demu.
 
Hata kama ni shoga. Aliyefariki ni binadamu si mnyama. who are to judge him? Wewe hutakufa? Mwachieni mungu kazi ya ku judge. R.I.P
 
  • Thanks
Reactions: BDN
alikua shoga mwislam unazungumziaje hilo bibi mdini?
Walioanzisha ushoga au mashoga wengi ni wakristo naona umesahau US na ULAYA, Na umesahau kuna mapadre wana waozesha huko Ulaya na soon mtaletewa hiyo sharia hapa au hujafikiria kwamba Waazilishi wa hilo ni wakristo na mashoga wengi ni wao wakristo. tabia chafu ya kila jambo kuanza kuingiza udini.
 
Bibie unajua zaidi ya unavojifanya..Hao wanaokubali ushoga katika ukristo wanatumia mafundisho ya kikristo?Wanaokubali ni hulka zao tu kama wanaotumia Quran kuua innocent people kwa kisingizio wametumwa na Allah.
Ndo mana tumekubali kuitwa magaidi na nyie kubalini kuitwa Mashoga.
 
Niliyekuwa hai naponda raha. Maisha yenyewe Ni mafupi, naamsha na supu na bia mbili za speed ya kazi. Wewe je?
kwakuwa wewe ni "PAGAN",huna dini wala imani,we ishi utakavyo,ila sisi tunajua utahukumiwa siku ya hesabu
 
Hii thread imenifanya niwajue mapunga na wasagaji wa Jf
 
Tatizo humjui huyu jamaa wala humfatilii, alishaelezea issue ya familia yake na ni mke ndo alitaka divorse wakafanya process zote, wakamalizana kisheria, unadhani aliona na mkewe mwanarumango kwamba utatekeleza mke serikali ikuangalia, jamaa alikuwa US na mke ndo aliomba talaka, na alimtunza mpaka anaondoka US, na kwa maelezo yake kuna pesa aliitaka jamaa akiwa huku tz jamaa akampa ushirikiano wa kusign docs na mwanamke akachukua pesa, jamaa ni gentleman ukimrudisha kwenye issue ya kifamily na baada ya hayo maelezo mwanamke alikaa kimya hakupinga kama alosema Le mutuz ni uongo.

Na kuhusu Ukuwadi una ushahidi?? alishawahi kukutongozea au ndo udaku, na wewe mpia umemshinda umbea na story za kusikia na kutunga, sio kama kakushinda kushinda na vitoto vidogo jamaa ameinvest kwenye entainment ulitaka aje akae na wewe mle mirungi, mwenzio pale club yeye kuwepo pale anaingiza pesa usiniulize kivipi, Halaf kumbuka humlipii jamaa kiingilio wala kinywaji. na yale ndo maisha yake ameamua kuishi hivyo na huwezi mbadili kwahiyo huna haja ya kumtusi kama kakuibiwa demu.
mbona unahangaika kumtetea sana bashako Yule?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom