kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Kinaniuma sana hiki lakini sisi mashabiki wa Simba tulivyo mambumbumbu tunawacheka yanga wakati kwetu hali si hali.
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
...mRahavyao msimu huuu ni Yanga kuharibikiwa yao iko rehaniiiiKinaniuma sana hiki lakini sisi mashabiki wa Simba tulivyo mambumbumbu tunawacheka yanga wakati kwetu hali si hali.
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Sawa,haya kale mihogo yako kunywa maji kalale. Sawa sawa??Kinaniuma sana hiki lakini sisi mashabiki wa Simba tulivyo mambumbumbu tunawacheka Yanga wakati kwetu hali si hali.
Ila mashabiki wa simba bhana!! Yaani umeshasahau timu yako kuanzia saa sita usiku wa leo, na yenyewe itakuwa inashika mkia.Alafu mnaburuza mkia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kima mna gubu sana eti mnataka sheria ya offside ifutwe hivi mna akili kweli nyie pimbi?Ila mashabiki wa simba bhana!! Yaani umeshasahau timu yako kuanzia saa sita usiku wa leo, na yenyewe itakuwa inashika mkia.
Unapata kabisa mpaka ujasiri wa kuicheka Yanga ambayo bado ina matumaini ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata!! Pole sana.
Kimekuuma sehemu gani ya mwili wewe utopolo?Kinaniuma sana hiki lakini sisi mashabiki wa Simba tulivyo mambumbumbu tunawacheka Yanga wakati kwetu hali si hali.
Mbumbumbu ni wewe hapo na hao waliishika mkia.Simba tulivyo mambumbumbu tunawacheka Yanga
Ndiyo amuulize huyo Zwazwa wake huwa anafunga mechi gani!Alafu mnaburuza mkia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani ni rahisi namna hiyo??utakuja kufedheheka bureIla mashabiki wa simba bhana!! Yaani umeshasahau timu yako kuanzia saa sita usiku wa leo, na yenyewe itakuwa inashika mkia.
Unapata kabisa mpaka ujasiri wa kuicheka Yanga ambayo bado ina matumaini ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata!! Pole sana.
Leo tunapigwa thalathaKima mna gubu sana eti mnataka sheria ya offside ifutwe hivi mna akili kweli nyie pimbi?
Na goli ni nyingi kuliko point ilizonazo timu yake πππPacome ana goli nyingi kuliko timu nzima ya Simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza hasira bhanaa wee.Kwa mtu yeyote humu jukwaani ukiona unani quote, halafu sikujibu chochote! Basi jiongeze. Utakuwa kwenye ignore list yangu kitambo.
Mimi sina mazoea na mbwa wenye midomo michafu.