Pacome ana goli nyingi kuliko timu nzima ya Simba

Tabia ya timu ndogo mara nyingi hijifananisha na timu kubwa..mbona Simba cl hajawahi kujifananisha na yanga..yaani mmeliwa huko kama mchicha mlaani mnakuja kumtania baba yenu Simba..ndio maana muliwahonga wacheza ..timu dhaifu nyie yenye washabiki wengi wanawake..Yanga anaweza kufika robo fainal kama ikicheza na timu ya wanawake club bingwa
 
Uyo mchezaji ni moto wa kuotea mbali na magoal yake yametupeleka kileleni huko kwenye mashindano ya CAF kwenye kundi D letu
GA2Dxo7XEAAGABj.jpeg
 
Alafu mnaburuza mkia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mashabiki wa simba bhana!! Yaani umeshasahau timu yako kuanzia saa sita usiku wa leo, na yenyewe itakuwa inashika mkia.

Unapata kabisa mpaka ujasiri wa kuicheka Yanga ambayo bado ina matumaini ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata!! Pole sana.
 
Kima mna gubu sana eti mnataka sheria ya offside ifutwe hivi mna akili kweli nyie pimbi?
 
Ila mashabiki wa simba bhana!! Yaani umeshasahau timu yako kuanzia saa sita usiku wa leo, na yenyewe itakuwa inashika mkia.

Unapata kabisa mpaka ujasiri wa kuicheka Yanga ambayo bado ina matumaini ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata!! Pole sana.
Unadhani ni rahisi namna hiyo??utakuja kufedheheka bure
 
Kwa mtu yeyote humu jukwaani ukiona unani quote, halafu sikujibu chochote! Basi jiongeze. Utakuwa kwenye ignore list yangu kitambo.

Mimi sina mazoea na mbwa wenye midomo michafu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza hasira bhanaa wee.
 
Back
Top Bottom