Tetesi: Pacome aomba kuondoka Yanga

Wilson Oruma yaani anaongoza kwa kuandika vitu vya kijinga tena wa wazi wazi yaani katika Chama cha Wachambuzi Wa Ovyo Tanzania ( CHAWAOTA) sijui yeye ni mwenyekiti au ni nani. Ila naona ana wadhifa mkubwa sana kwenye chama.
Kuna Huyo jamaa Oruma, kuna yule mwengine Ngeleza na kaka yao yule mpuuzi wa Tunduru, me huwa sifatilii kabisa habari kutoka kwao.
Binafs nimewadharau huwa nawaona ni wapuuzi tu wamevamia fani ya uchambuzi.
 
Hivi hii inshu ya PACOME kuondoka Yanga SC baada ya kupata ofa katika klabu ya Al Ahly mashabiki wamejiandaaje kisaikolojia NEXT SEASON?! 🙄
 
Inaenda poa tu😀😀sisi kama simba hatuna shida aende tu
 
Tanzania tangu lini akujua mali, ( mpira wa miguu ) kwani pacome akiondoka Kuna shida kwenye klabu.

kwanini klabu za Tz mchezaji hamudu kwenye klabu zaidi ya misimu 4 au 5.
 
Al ahly hupenda kuchukua wachezaji waliowafunga kisha wakifika huko wanawaharibu
 
Hivi hii inshu ya PACOME kuondoka Yanga SC baada ya kupata ofa katika klabu ya Al Ahly mashabiki wamejiandaaje kisaikolojia NEXT SEASON?! 🙄
Ishu ingekuwa ina ukweli mtu wa kwanza ku report angekuwa Micky Jnr.
 
Eti "chanzo changu" shenzi taipu wewe lazima utakuwa liccm ndio imejaa mijitu miongo.
 
Huku katavi kuna kina pacome wengi sana
 
Hivi usikute wameshasahau kama walikuwa hawamtaki Mwenyekiti wao wiko kadhaa zilizopita!! Hawa viumbe ni wasahaulifu sana. Na ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu.
So unataka waendelee kutomtaka?
 
"Hii taarifa si ya kweli,Ahaly wanamtaka kuna mchezaji toka Uarabuni na beki mmoja toka Algeria kwaajili ya maandalizi ya club World cup ,pia now hatujaweka sana nguvu kwenye usajili kwasababu ligi bado haijaisha,nilizungumza na mtu wa ndani wa timu hiyo"

George Ambangile, Kipindi cha asubuhi 01/07/2024
 
Hayo ni matamanio yako. Haya Sali hivi "Mungu ijalie uto Pakome aongeze mkataba".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…