Mbona uzi umekaa kisiasaCookie
Tia huu mzigo kwenye jukwaa la jokes chap
Jokes tupuMbona uzi umekaa kisiasa
Ushakuwa mtu mzima , punguza utoto PdidyPacome ZOUZOUA aomba kuondoka Yanga!
Kiungo mshambuliiaji wa Young Africans raia wa Ivory Coast ameuomba uongozi wa Young Africans jana jioni kuondoka kwenda Gym kufanya mazoezi ya viungo ili kujiweka sawa kwa msimu huu unaoanza, Taarifa zinasema kwamba Pacome ameomba kuwa anaondoka saa 1 jioni na atakuwa akirudi baada ya masaa mawili tu ✍️.
Uongozi umekubali ombi hilo wamempatia mlinzi na dereva ambapo watakuwa wanampeleka na kumrudisha ndani ya muda huo huo aliouomba.
Sasa SIMBILIZI ulifurahia nini ulipoona kichwa cha habari, Hakuna mtu kuondoka ..... WEWE WA SIMBILIZI ULIYEFURAHI KABLA YA KUSOMA😂🚮
PoleMwaka aliojiunga Jf Mimi niko chekekea hata darala la kwanza bado.
🤣Maigizo FC.
Mara mobeto, mara pacome sijui azizi
Una jitekenya na kujichekesha mwenyewe...Pacome ZOUZOUA aomba kuondoka Yanga!