Pacome aomba kuondoka...

Pacome aomba kuondoka...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Pacome ZOUZOUA aomba kuondoka Yanga!

Kiungo mshambuliiaji wa Young Africans raia wa Ivory Coast ameuomba uongozi wa Young Africans jana jioni kuondoka kwenda Gym kufanya mazoezi ya viungo ili kujiweka sawa kwa msimu huu unaoanza, Taarifa zinasema kwamba Pacome ameomba kuwa anaondoka saa 1 jioni na atakuwa akirudi baada ya masaa mawili tu ✍️.

Uongozi umekubali ombi hilo wamempatia mlinzi na dereva ambapo watakuwa wanampeleka na kumrudisha ndani ya muda huo huo aliouomba.

Sasa SIMBILIZI ulifurahia nini ulipoona kichwa cha habari, Hakuna mtu kuondoka ..... WEWE WA SIMBILIZI ULIYEFURAHI KABLA YA KUSOMA😂🚮
 
Maigizo FC.
Mara mobeto, mara pacome sijui azizi
 
Ushakuwa mtu mzima , punguza utoto Pdidy
 
Labda kama hiyo gym ipo huko huko kijiji cha Kimbiji ila ukisema aje huku Masaki, fogetabautit kurudi baada ya masaa mawili
 
Shida ya Yanga imekua si timu ya Wananchi tena bali timu ya Wachumba. Yani jezi imekua sale ya Wauza uchi uko mitaani inatumila kufunua/kunadi misambwanda.
 
Pacome ZOUZOUA aomba kuondoka Yanga!

Kiungo mshambuliiaji wa Young Africans raia wa Ivory Coast ameuomba uongozi wa Young Africans jana jioni kuondoka kwenda Gym kufanya mazoezi ya viungo ili kujiweka sawa kwa msimu huu unaoanza, Taarifa zinasema kwamba Pacome ameomba kuwa anaondoka saa 1 jioni na atakuwa akirudi baada ya masaa mawili tu ✍️.

Uongozi umekubali ombi hilo wamempatia mlinzi na dereva ambapo watakuwa wanampeleka na kumrudisha ndani ya muda huo huo aliouomba.

Sasa SIMBILIZI ulifurahia nini ulipoona kichwa cha habari, Hakuna mtu kuondoka ..... WEWE WA SIMBILIZI ULIYEFURAHI KABLA YA KUSOMA😂🚮
Una jitekenya na kujichekesha mwenyewe...
Ujinga mtupu...
 
Back
Top Bottom