Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Pacome ZOUZOUA aomba kuondoka Yanga!
Kiungo mshambuliiaji wa Young Africans raia wa Ivory Coast ameuomba uongozi wa Young Africans jana jioni kuondoka kwenda Gym kufanya mazoezi ya viungo ili kujiweka sawa kwa msimu huu unaoanza, Taarifa zinasema kwamba Pacome ameomba kuwa anaondoka saa 1 jioni na atakuwa akirudi baada ya masaa mawili tu ✍️.
Uongozi umekubali ombi hilo wamempatia mlinzi na dereva ambapo watakuwa wanampeleka na kumrudisha ndani ya muda huo huo aliouomba.
Sasa SIMBILIZI ulifurahia nini ulipoona kichwa cha habari, Hakuna mtu kuondoka ..... WEWE WA SIMBILIZI ULIYEFURAHI KABLA YA KUSOMA😂🚮