Pacome Zouzou ni legelege sana, amevunjika kwa sababu amekutana na chuma cha pua Yahya Zayd

Pacome Zouzou ni legelege sana, amevunjika kwa sababu amekutana na chuma cha pua Yahya Zayd

Tukikwambia huna akili unakasirika. Hapa umetumia nini kufikiri kama siyo uji?
Wewe mwambie tu ukweli hana akili. Kama atakasirika, basi wewe mlete tu kwangu ili nimcharaze bakora za kwenye makalio.
 
Kuna mkakati wa kuumiza wachezaji wa Yanga
1. Okrah
2. Aucho
3. Pakome
4. Yao
Naishauri Yanga na wao waanze na
1. Chama
Sasa chama anahusika vipi hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anawavuruga sanaa eeeh?
 
Wewe mwambie tu ukweli hana akili. Kama atakasirika, basi wewe mlete tu kwangu ili nimcharaze bakora za kwenye makalio.
We nawee una jipyaaa gani sahivi uduguu angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeishiwa had nakuonea huruma maskini, mamelod huko anasubiri kuua majeruhi wote wa hapo kidimbwii Fc.
 
Back
Top Bottom