Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 18, 2024 #21 Bila bila said: Tukikwambia huna akili unakasirika. Hapa umetumia nini kufikiri kama siyo uji? Click to expand... Wewe mwambie tu ukweli hana akili. Kama atakasirika, basi wewe mlete tu kwangu ili nimcharaze bakora za kwenye makalio.
Bila bila said: Tukikwambia huna akili unakasirika. Hapa umetumia nini kufikiri kama siyo uji? Click to expand... Wewe mwambie tu ukweli hana akili. Kama atakasirika, basi wewe mlete tu kwangu ili nimcharaze bakora za kwenye makalio.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 18, 2024 #22 mbalizi1 said: Jana kawahenyesha wanayanga uwanjani sio poa yule dogo Bin Zeyd akiwa na kipre[emoji38] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbalizi1 said: Jana kawahenyesha wanayanga uwanjani sio poa yule dogo Bin Zeyd akiwa na kipre[emoji38] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 18, 2024 #23 Carica_papaya said: Kuna mkakati wa kuumiza wachezaji wa Yanga 1. Okrah 2. Aucho 3. Pakome 4. Yao Naishauri Yanga na wao waanze na 1. Chama Click to expand... Sasa chama anahusika vipi hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anawavuruga sanaa eeeh?
Carica_papaya said: Kuna mkakati wa kuumiza wachezaji wa Yanga 1. Okrah 2. Aucho 3. Pakome 4. Yao Naishauri Yanga na wao waanze na 1. Chama Click to expand... Sasa chama anahusika vipi hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anawavuruga sanaa eeeh?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 18, 2024 #24 Tate Mkuu said: Wewe mwambie tu ukweli hana akili. Kama atakasirika, basi wewe mlete tu kwangu ili nimcharaze bakora za kwenye makalio. Click to expand... We nawee una jipyaaa gani sahivi uduguu angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeishiwa had nakuonea huruma maskini, mamelod huko anasubiri kuua majeruhi wote wa hapo kidimbwii Fc.
Tate Mkuu said: Wewe mwambie tu ukweli hana akili. Kama atakasirika, basi wewe mlete tu kwangu ili nimcharaze bakora za kwenye makalio. Click to expand... We nawee una jipyaaa gani sahivi uduguu angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeishiwa had nakuonea huruma maskini, mamelod huko anasubiri kuua majeruhi wote wa hapo kidimbwii Fc.