Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

Pamoja na ubishi wote mliokuwa nao, naona hatimaye mmeamua kukiri kimtindo kwamba Pacome is better than Chama.
 
Ni kweli, Inrahim Baka mwenyewe ameshamalizana na Coast Union kilichobaki wanasubiri msimu tu umalizike wamtangaze rasmi.
Si kweli. Baka anaenda liverpool. Waliona tangazo la bango la Yanga la ushindi wakavutiwa na uwezo wake. Hawakuhitaji hata kutazama mechi zake, bango lilimuuza.
 
Si Pacome alipopelekwa msimbazi mlimkataa kuwa hamsajili wachezaji wasio na majina?
Hahhahahha
Mwenyewe nimeshangaa Sana na waliletewa Hadi mlangoni wakamuona wa nini... Sisi Yanga tunasema njoo upige kazi Mr.MVP
 
Mnazani mkifanya hivyo ndio mtazuia migogoro yenu, tengenezeni timu yenu hizi cheap popularity za kina Manzoki,Mayele mara Pacome hazito wasaidia.
 
Hata kama ikitokea Pacome kaenda Simba ni sawa ni swala la maslahi lakini Yanga haitoteteleka kwasababu Yanga ni timu na sio mchezaji.
Yanga imecheza michezo migumu bila Pacome na haijapoteza mchezo hata mmoja. Na zaidi na zaidi ilicheza michezo bila wachezaji watatu wa first eleven ( Yao, Aucho na Pacome) na haikupoteza mchezo.
 
Kama sio mtindio wa ubongo basi ni msongo wa mawazo, mmeshamalizana na Mayele?
 
Mashabiki wa makolo wanaishi kwa matumaini na tetesi
Mara pacome Mara aziz ki Mara mzize Mara job Mara gamondi anaondoka Mara Pacome hachezi mwaka mmoja na nusu kwa majeraha 😁😁😁
Rage alikuwa sahihi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…