Padre aliesema ubaya ubwela kanisani ahamishwaa

Padre aliesema ubaya ubwela kanisani ahamishwaa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
St Moore mbezi beach leo kulilipuka furaha baada ya padre aliekuwepo kupewa masaa matatu aelekee St Joseph alipewa mda wa kukabidhi funguo. Tu

Padre huyu alilalama jpili kaniisa limejaa wazee hawana msaada wowote wako kuchunguzana limeishia wapi ooh zimeliwa ngapi...zimetumika ngapi baadae wanapeleka makelele mbele kwa viongozi. Akawambiaa niwaambie tu tunapoelekea ubaya ubwela.

Umbwelaa kweli mnachotaka hamtafanikiwa hakujuaa watu wanamrekodi maskini. Hapa kati wakampa masaa kadhaa akabidhi kila kitu na asilale pale ndani

Leo tumeanza na padre mpya ameomba tusahau machungu yotee. Tuanze upyaa na ameomba tushirikiane na kanisa litamalizika kwenye ujenzi

Bwana Yesu asifiwe

Tunahitaji maamuzi magumu kama haya
 
Leo naandika tena!

Kuwa padri /mchungaji/au tu awaye yoyote

Haina maana kwamba hulka za.kibinadamu zinaondoka
Hivyo ukiwa kwenye ibada wee baki na Mungu wako na moyo wako

Kwenye kumtafuta Mungu usisikilize akili yako

Sikiliza Moyo wako /nafsi yako

Akili itakuletea matatizo na kumkosea Mungu wako bure
 
Back
Top Bottom