Padre aliesema ubaya ubwela kanisani ahamishwaa

St Moore mbezi beach leo kulilipuka furaha baada ya padre aliekuwepo kupewa masaa matatu aelekee St Joseph alipewa mda wa kukabidhi funguo. Tu

Padre huyu alilalama jpili kaniisa limejaa wazee hawana msaada wowote wako kuchunguzana limeishia wapi ooh zimeliwa ngapi...zimetumika ngapi baadae wanapeleka makelele mbele kwa viongozi. Akawambiaa niwaambie tu tunapoelekea ubaya ubwela.

Umbwelaa kweli mnachotaka hamtafanikiwa hakujuaa watu wanamrekodi maskini. Hapa kati wakampa masaa kadhaa akabidhi kila kitu na asilale pale ndani

Leo tumeanza na padre mpya ameomba tusahau machungu yotee. Tuanze upyaa na ameomba tushirikiane na kanisa litamalizika kwenye ujenzi

Bwana Yesu asifiwe

Tunahitaji maamuzi magumu kama haya
Churches turn into people's business
 
Story inamuhusu Padre nawe unadai ni muumini wa hapo, ila hitimisho umegonga "Bwana asifiwe".
Wenye akili tumekuelewa
 
St Moore mbezi beach leo kulilipuka furaha baada ya padre aliekuwepo kupewa masaa matatu aelekee St Joseph alipewa mda wa kukabidhi funguo. Tu

Padre huyu alilalama jpili kaniisa limejaa wazee hawana msaada wowote wako kuchunguzana limeishia wapi ooh zimeliwa ngapi...zimetumika ngapi baadae wanapeleka makelele mbele kwa viongozi. Akawambiaa niwaambie tu tunapoelekea ubaya ubwela.

Umbwelaa kweli mnachotaka hamtafanikiwa hakujuaa watu wanamrekodi maskini. Hapa kati wakampa masaa kadhaa akabidhi kila kitu na asilale pale ndani

Leo tumeanza na padre mpya ameomba tusahau machungu yotee. Tuanze upyaa na ameomba tushirikiane na kanisa litamalizika kwenye ujenzi

Bwana Yesu asifiwe

Tunahitaji maamuzi magumu kama haya
Haijulikani ni dhehebu gani. Katoliki tuna Padre ila hatuna Bwana Asifiwe
 
hili kanisaaa wanapiga sanaa yaan wanatoa sadakaa michango kibao kuna wawili wametolewa mieez kadhaa mmoja yuko kilungule hana hamu kule labda adili na totos...mwingine sijuii alifia wapi....

Yaan sijawahi sikia hekima ya Mh Joseph mbatia leo kila muumini amemfurahiaaa

Mungu akutunze
 
Religious people is too Hipocrite like their fellow members Pharisees from Zion!
Jamaa ni wanafki kishenzi yaani hua Wana pretend vitu vingi kinafki sana
Hope huko mbinguni wao ni chanel ya Vichekesho
FUTUHI kwa maigizo yao!

Sasa kwani Ubaya si Ubwela kwani kuna shido?
😁😁
 
Back
Top Bottom