Padre aliesema ubaya ubwela kanisani ahamishwaa

Padre aliesema ubaya ubwela kanisani ahamishwaa

Duh! ubaya ubwela hadi kanisani huyo padre ni shabiki wa simba Mo amchuke asaidie bench la ufundi!
 
St Moore mbezi beach leo kulilipuka furaha baada ya padre aliekuwepo kupewa masaa matatu aelekee St Joseph alipewa mda wa kukabidhi funguo. Tu

Padre huyu alilalama jpili kaniisa limejaa wazee hawana msaada wowote wako kuchunguzana limeishia wapi ooh zimeliwa ngapi...zimetumika ngapi baadae wanapeleka makelele mbele kwa viongozi. Akawambiaa niwaambie tu tunapoelekea ubaya ubwela.

Umbwelaa kweli mnachotaka hamtafanikiwa hakujuaa watu wanamrekodi maskini. Hapa kati wakampa masaa kadhaa akabidhi kila kitu na asilale pale ndani

Leo tumeanza na padre mpya ameomba tusahau machungu yotee. Tuanze upyaa na ameomba tushirikiane na kanisa litamalizika kwenye ujenzi

Bwana Yesu asifiwe

Tunahitaji maamuzi magumu kama haya
Ubaya ubwela mwanangu!
 
Eti wakristo mnajifanya mnatangaza UPENDO...migogoro ya kijingJinga tu!what a shame

Sasa nawe umeandika nini. Upendo unahusiana nini na taratibu? Umesikia wamemchapa bakora au wamemwamisha?
 
Kwanini mnaenda kinyume na maandiko?
Kwanini msisamehe 7× 70?
Mmekiuka maandiko mnayoyahubiri
Usiseme kama vile umevimbiwa pilau unataka kutoa mashuzi upumue. Mafundisho ya kuendekeza watu wanaofanya jinai au kukosa maarifa na weledi?
 
Eti wakristo mnajifanya mnatangaza UPENDO...migogoro ya kijingJinga tu!what a shame
Dalili ya ukomavu sio kuto gombana,ni uwezo mkubwa wa kurekebisha tofauti baada ya hapo.
Kuna watu mpaka wanarogana.
 
Back
Top Bottom