Padre aliyeongoza misa kumuaga Jenista Muhagama asikitika 'nilijiuliza ni kwanini kifo chake kitokee wakati huu?'

Kwa hiyo siku hizi tumeanza kumpangia mpaka Mungu wakati wa kutwaa kiumbe chake?
Naona watz siasa zinataka kutufanya kuwa vichaa.

Kauli ya Paroko ni ya kawaida sana, lakini wauaji kila wakati wanakuwa na wasiwasi, wanaona kama vile amewaambia kuwa ndio waliomwua! Hii inathibitisha ule ukweli kuwa mtu mwovu wakati wote anakuwa ni mtu mwenye mashaka, akisikia kauli yoyote anafikiria wameugundua uovu wake.
 
Padre ana sauti nzuri Yule ya kitume
Sema Sura Tu ndo Hana
Otherwise tungesepa nae
 

Naomba tafsiri ya hii picha kulingana na speech aliyokuwa akiitoa mtumishi wa bwana
 
Akitaka kitokee lini!?..hao walevi Wana shida sana
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
 

Attachments

  • IMG_20251214_012332.jpg
    93.9 KB · Views: 30
  • Screenshot_2025-12-14-01-22-42-644.jpg
    156.5 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…