Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Kumbukumbu zangu zinaniambia dhahiri kwamba wewe Padri Jean Baptiste Mapunda ulishwahi kufukuzwa kule Zambia katika Shirika la MISSIONARIES OF AFRICA ndo ukarudi hapa nchini ukaendelea kuchonga sana, na ashukuruwe Mungu kwamba uliacha kunywa pombe vinginevyo sijui ungelikuwa wapi, pia uwashukuru AA (ALCOHOLIC ANONYMOUS) walikutoa mbali tena ingekuwa vizuri endapo ungelikuwa unawaandikia makala nzuri nzuri za kuelimisha watu juu ya madhara ya pombe ili wasiangamie kama ulivyotaka kuangamia kipindi kile.
Kwa sasa nakushauri utulie tuu na uendelee kutumia kipaji chako cha kufundisha habari za Mungu, labda wale Wamisionari wakikuona umetulia wanaweza kukurudisha tena Shirikani lakini upunguze kuchonga na kujifanya muongeaji na mjuaji wa hayo mambo unayoyaandika kwenye makala.
Nakutakia utumishi mwema uliobadilika, maana usifikiri sisi waumini wako hatukujui ulipotoka, tunakujua sana ndo maana tunakushauri ujiepushe na siasa ama la uache utumishi wako huo na uwe mwanasiasa, au ulitoawa kule BMK katika kundi la 201? Pole sana, sasa usilipize kisasi kwa style hiyo, maana unajidharirisha tu huku nchini kwako, kuandika kwako malundo ya makala usifikiri unachokiandika kina mantiki sana, tumegundua unawapotosha waumini na watanzania kwa ujumla kwa maneno ya chuki kwa lengo la kuichukia Serikali, kuwa mzalendo na uendelee kuhubiri neno la Bwana kwani hiyo kazi ya siasa haikufai.