dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Ushauri wa bure kwa mh.padre mapunda na genge lako achana kabisa na huu utaratibu wa kuandika makala zenye lengo la kuleta mgawanyiko hapa tanzania ili hali ww unaishi sijui ghana mara somalia,coz hueleweki
Ndg...kwanini unadhani MAKALA ndio zinaleta migawanyiko kwenye Jamii Badala hawa watu wanaopenda kujiita viongoz wetu wanaofilisi Nch kisha kutuambia hawajui kwanini Nch ni maskini....