CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Inaonekana huyo padri ni hawala yako eeeenh ama mmeo! Maana unamtetea mchumia tumbo huyo as if ni baba yako au aliwahi kuoa kwenu eeenh? Hana jipya tutamuanika uchafu wake kila kukicha ili aone kuwa watu wanamjua sana humu ndani aacha kupotosha umma kwa maneno ya uongo.
Mambo ya uhawala umeyakazania sana1 Tukueleweje, why rush to uhawala and not other areas of social life. Unaujuaje uhawala!