CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Inaonekana huyo padri ni hawala yako eeeenh ama mmeo! Maana unamtetea mchumia tumbo huyo as if ni baba yako au aliwahi kuoa kwenu eeenh? Hana jipya tutamuanika uchafu wake kila kukicha ili aone kuwa watu wanamjua sana humu ndani aacha kupotosha umma kwa maneno ya uongo.
Acha upuuzi wewe mwehu, sasa we ndo umekomaa kifikra? Umeweka maneno mengi lakini ni pumba tupu, kajipangentena mchumia tumbo wewe.
Kama una uhakika kwamba ana ID humu JF, muite aje alitetee, vinginevyo usishangae kuona watu wengine wanajibu hoja zako kwa niaba yake. Au ulitaka uwe unaandika tu na kujijibu peke yako, mawazo ya upande wa pili hutaki yaonekane?Inaonekana huyo padri ni hawala yako eeeenh ama mmeo! Maana unamtetea mchumia tumbo huyo as if ni baba yako au aliwahi kuoa kwenu eeenh? Hana jipya tutamuanika uchafu wake kila kukicha ili aone kuwa watu wanamjua sana humu ndani aacha kupotosha umma kwa maneno ya uongo.
Funguka wewe hili ni jukwaa la wote sio la mtu binafsi.sina cha kuongezea mengi wenzangu wamesha sema
Ushauri wa bure kwa mh.padre mapunda na genge lako achana kabisa na huu utaratibu wa kuandika makala zenye lengo la kuleta mgawanyiko hapa tanzania ili hali ww unaishi sijui ghana mara somalia,coz hueleweki
Hebu leteni walau hata makala moja ya Fr Mapunda na mseme hapa kawagawa Watanzania na hapa kakosea kuliko kuongea tu in thin air. Tunataka ushahidi na siyo mbwembwe za matusi na character assassination. Things should be accepted or believed on their weight of evidence and not propaganda.
Wewe na ukoo wenu ndo mnashibia mlo mmoja tena mlo wenyewe wa maembe. Nyambavfuuu mkubwa weeeHAko ni kakitengo rasmi ka kumnyamazisha Fr.Mapunda kalikoanzishwa!! Hii ni aibu kubwa! hawa wabwana mdogo vihela vya kuvizia vimewamaliza akili kabisa! Kwao huyu Fr. Mapunda amekuwa akiponda utaratibu wa katiba ya nyoka wa makengeza sasa kwa kuwa hivi vinashiba mlo wa siku moja basi taabu tu!
Wewe na ukoo wenu ndo mnashibia mlo mmoja tena mlo wenyewe wa maembe. Nyambavfuuu mkubwa weee